Messi alichezea Barcelona kipindi chote..na timu imekuwa juu muda wote! Imagine na CR angekuwa Real Madrid muda wote!
kabla sijakujibu labda tafuta tu CR kacheza final ngapi akiwa Man U na kacheza Semi Final ngapi akiwa Man U?? Performance ya Man U kwenye CL kuanzia CR ameanza kucheza mpaka anaondoka na ya Madrid, Man U ilikua juu. Ronaldo magoli mengi ya CL kayafungia Man U sio Madrid
CR7 kazaliwa 1985 na Messi kazaliwa 1987.
CR7 alianza kucheza 1st team msimu wa 2002/03 Sporting Cp ya ureno akiwa na miaka 17 na Mesi alianza msimu wa 2004/5 pale Barcelona akiwa na miaka 17.
Katika club zote alizopitia CR7 yani Sporting Cp, Man United na Madrid, ametupia jumla ya goli 294 katka miaka 10 ya kucheza soka na Messi katupia goli 253 pale Barcelona katika miaka yake 10 ya kucheza soka.
Hayo magoli waliyofunga ni katka mechi za ligi tu.
Hivyo ukiamua nani mkali kwa kuangalia mwenye goli nyingi CR7 ni superior kwa Messi. Maana ametupia goli za kutosha, alafu alipoteza msimu wa kwanza kwenye timu isiyo na mbele wala nyuma Sporting CP tofauti na Messi aliyekua kazungukwa na Mafundi kama Gaucho na Deco.
NB: Asante Google kwa hizo data.
Ngoja niwasiliane na Mr. Google, then i will be back.
NB: Statistics Never Lie.
Sasa Man U utaifananisha na Barcelona?
watu8 uko sahihi kabisa kuwa bora ni zaidi ya magoli, ila zinasaidia, mf. pele tunaamishwa ni "best ever" kisa alifunga goli zaidi ya buku, pia alifunga goli zilizoiwezesha Brazil kuchukua WC mara 3.Hilo ndio kosa unalofanya kutegemea google kufanya maamuzi badala ya kutegemea misingi ya vitu vinavyotazamwa kupima uchezaji bora...
Kuna wachezaji walikuwa ni mafundi wa kufunga magoli lakini hawakuwahi kuitwa wachezaji bora katika enzi zao mathalani Mario Jadel n.k
Hii inaonesha Messi ni bora kuliko CR7 ........
Mkuu Man U ya 2004 mpaka 2010 ilikua ina tofauti gani na Barca?? Hiyo Man U unayoisema hapa ilicheza Final 3 za CL kati ya miaka mitano then unaibeza?? Au umeanza kuangalia mpira juzi asee?? Man U unayoibeza ilicheza 2 consecutive Finals in a raw moja akashinda dhidi ya Chelsea nyingine akapoteza dhidi ya Barca. Vipi bado unaibeza ile timu??
Mabao yake matatu dhidi ya Apoel Nicosia yamemfanya Lionel Messi kuweka rekodi ya mabao 74 katika michuano ya Klabu Bingwa Ulaya. Hiyo ni rekodi mpya kupata kuwekwa katika UCL. Sasa Messi anamzidi Christiano Ronaldo mabao 4.
Messi ni moto. Ni rekodi juu ya rekodi
mess namkubal sana zaid ya wachezaj wote dunian he is my best player all the time.
Ngoja nikupe Statistics za mechi za Champion League kati ya Man U na Barca (head to head) kwa kipindi ulichosema; ndipo utakapojua kuwa Barca ilikuwa ni zaidi ya Man U
2007/8 - Semi Final ManU 0 - Barca 0
2007/8 - Semi Final Man U 1 - Barca 0
2008/9 - Final Man U 0 - Barca 2
2010/11 - Final Man U 1 - Barca 3
CL aliondoka Man U msimu wa 2009.
Kwahizi data; Man U ilikuwa ni timu dhaifu kwa Barca; pili CL akiwa na timu hii dhaifu hakuweza kuonyesha uwezo wake sana.
Pia ukumbuke kuwa CL na Messi sio Diego Maradona ambaye aliichukua Napoli, timu ya vijijini toka daraja la pili hadi kuwa machampion wa Italy.
Hawa watu (CL na Messi) wanategemea sana teamwork; ndio maana CL hakung'ara sana na Man U kwa kuwa timu work kwenye Champions League ilikuwa haifanani na ya Barca. Sijui kama unanielewa lakini?
Messi alichezea Barcelona kipindi chote..na timu imekuwa juu muda wote! Imagine na CR angekuwa Real Madrid muda wote!