Ni karibu na tume ya sayansi na teknolojia (costech) ni kituo cha magari ya maji safi/ taka .
Mimi naona hicho kibao ndio kipo mahala ambapo sio kwake, magari yamekuwepo hapo kabla hata hiyo barabara haijawekwa lami. Walipaswa kuangalia vitu vilivyopo hapo ndio waje na hivyo vibao na sio kuja na vibao ili vitu vilivyopo hapo vibadilike.
Na kwa wenyeji panajulikana kama MAJI MACHAFU,jina la SAYANSI ni la siku za karibuni(90s).
Hii kitu ya message not sent imeenea nchi nzima.Tafuta sehemu ya wazi iliyo safi kabisa kisha weka kibao:USITUPE TAKA HAPA.Njoo kesho yake uone lundo la taka lilivyo kubwa! Yaani ni kitu cha ajabu hapa nchini.