Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,539
- 30,094
Suprise iz better than Promise.
Dedication kwa my Huz Ben Saanane.
Mjini Pesa, U-handsome kwa ndugu zako kijijini.
Dedication kwa Chimbuvu.
Ulikiona chanini, wenzako wamesema watanipata lini.
Dedication kwa Arushaone.
Raha ya ubwabwa matandu, utamu wa kiuno Chachandu.
Dedication kwa Remote.
Upole wako wanimaliza, kifua chako chanipumbaza, nimekufa na kuoza, simtaki mwingine Braza.
Dedication kwa tedo.
Poa wangu kichuna, naona umeuchuna, wajanja wanajinona, tokeza ujitwalie.
Dedication kwa Chilli.
Hongera kwa kumpata sweet.Mie naomba kopi ya hii meseji imfikie stevoh popote pale alipo
Mods tafadhali wekeni kitufe special chenye like kama TANO kwa wakati mmoja...

like like like hapa umeua halafu kuna anahitaji tumsute humu ndani dadaSuprise iz better than Promise.
Dedication kwa my Huz Ben Saanane.
Mjini Pesa, U-handsome kwa ndugu zako kijijini.
Dedication kwa Chimbuvu.
Ulikiona chanini, wenzako wamesema watanipata lini.
Dedication kwa Arushaone.
Raha ya ubwabwa matandu, utamu wa kiuno Chachandu.
Dedication kwa Remote.
Upole wako wanimaliza, kifua chako chanipumbaza, nimekufa na kuoza, simtaki mwingine Braza.
Dedication kwa tedo.
Poa wangu kichuna, naona umeuchuna, wajanja wanajinona, tokeza ujitwalie.
Dedication kwa Chilli.
I LOVE YOU SO MUCH AND I MISS YOU VERY MUCH.
yaani natamani kila saa nikuone,nikuhug,nikukiss.
Sometimes i think am crazy bt your the craziest one thats why we fit each other.
Ahsante mwaya. Hayo maneno ulyoandka yakurudie nawe
Suprise iz better than Promise.
Dedication kwa my Huz Ben Saanane.
Mjini Pesa, U-handsome kwa ndugu zako kijijini.
Dedication kwa Chimbuvu.
Ulikiona chanini, wenzako wamesema watanipata lini.
Dedication kwa Arushaone.
Raha ya ubwabwa matandu, utamu wa kiuno Chachandu.
Dedication kwa Remote.
Upole wako wanimaliza, kifua chako chanipumbaza, nimekufa na kuoza, simtaki mwingine Braza.
Dedication kwa tedo.
Poa wangu kichuna, naona umeuchuna, wajanja wanajinona, tokeza ujitwalie.
Dedication kwa Chilli.
Ahsante mwaya. Hayo maneno ulyoandka yakurudie nawe
ha ha ha ujue hajafa ile ni a.k.a sasahivi anatumia official name
kwani siku hizi amekuwaje??
Nakupata KOKUTONA,mambo ya tenda love n care ikisindikizwa na wimbo wa houston i will always love you au wa 'love love to love you beibe' aliuimba nani vile?Hahahaaa kaka Bishanga umenikumbusha enzi za NIGHT DISCO Korogwe girls na TANGA TECH/GALANOS baada ya graduation yaani unaandika barua unaipulizia pafyumu.....na karatasi shurti lichorwe maua..afu mwisho kabisa unaandika with T. L.C unajua kirefu chake Bishanga? Bila kusahau wimbo wa kidhungu wa mapenzii uliokeremisha
Hapo ikifika grad lazima aje upate partner wa ku dance naye....jamani zamani RAHA lol

Kaaaaaaaazi kweli kweli!Suprise iz better than Promise.