Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

Mimi nimetimiwa sms sasa hivi. ILE PESA ITUME KWENYE NAMBA 0759203616 JINA LITAKUJA STEVEN MBALAMWEZI MTANDAO UNASUMBUA HII NDIO NAMBA YA WAKALA.
 
Fedha hakuna

Biashara zimefubaa

Mapato hakuna

Lakini matumbo yanahitaji kula kila siku, familia zinahitaji matumizi nk

Lazima ubunifu uibuke kwa kutapeli..... ni dalili za uchumi kushukaaaaa

Mwenyewe wanajisifia chumi kukuwa.
 
Kwa kipindi cha mda mfupi kumekuwa na malalamiko mengi sana hapa ya watu wakilalamika kutapeliwa na wengine wakitupa lawama kwa TCRA kwanini watu hao hawakamatwi

Kipindi cha hivi karibuni matapeli yameongezeka kweli kweli hadi inakuwa kero sasa

Nini shida wakuu, ni vyuma kukaza au watu hawapendi kazi
Leo yamenipigia Simu mawili yanajiita nikutoka voda baadae Rafiki Yangu akanipigia kuniambia taperi amempigia yanatumia namba za Vodacom tu
 
mi mwenyewe nimetapeliwa muda si mrefu jamaniii hivi hawa matapeli hawajajifunza kwa yule mwizi wa juzi wa mahindi yakanata mgongoni?????
 
Hii bongo kila mtu tapeli, tunatofautiana means na amount tu.

tapatalk_1526055505324.jpeg
mwingine huyu, japo nayeye kafundishwa utapeli na
Screenshot_20180506-201111.jpg
 
Back
Top Bottom