Upo naye katika uhusiano, siku moja mnagombana , anakuandikia msg au anakupigia simu , "usinipigie simu wala kunitumia meseji zako tena and all that, futa namba yangu ya simu na mimi nafuta yako." ( ANAPIGA BONGE LA MKWARA ), then mtu mzima unapiga kimya, baada ya siku tatu, anakutumia meseji " Honey, a miss u alot jamani utakuwa free saa ngapi? mi nimeshajiandaa tayari nasubiri tu sms yako, nichukue gari nije ..Love u so much hun mwaah". Mtu mzima unapiga kimya, hauijibu hiyo meseji.. Baada ya dakika tano hivi,. Anakutumia meseji nyingine anasema " Samahani hiyo meseji imekuja kwako kimakosa ". Mtu mzima unapiga kimya. Baada ya dakika thelathini anakupigia simu, haupokei, missed call zinafika saba....Dakika kumi na tano baadaye anakuandikia meseji huku akitaja jina lako tena kwa ufupi. Hi ( Jina lako ), leo tunaweza kuonana? mcn u a lot my dear!
Masista du acheni utoto na mapenzi ya kitamthiliya, huyu ndo amesha mwagwa hivyo, zile zama za kunyenyekea papuchi zimekwisha pitwa na wakati...

Upo naye katika uhusiano,
siku moja mnagombana , anakuandikia msg au anakupigia simu ,
"usinipigie simu wala kunitumia meseji zako tena and all that,
futa namba yangu ya simu na mimi nafuta yako." ( ANAPIGA BONGE
LA MKWARA ), then mtu mzima unapiga kimya, baada ya siku tatu,
anakutumia meseji " Honey, a miss u alot jamani utakuwa free saa
ngapi? mi nimeshajiandaa tayari nasubiri tu sms yako, nichukue
gari nije ..Love u so much hun mwaah". Mtu mzima unapiga kimya,
hauijibu hiyo meseji.. Baada ya dakika tano hivi,. Anakutumia
meseji nyingine anasema " Samahani hiyo meseji imekuja kwako
kimakosa ". Mtu mzima unapiga kimya. Baada ya dakika thelathini
anakupigia simu, haupokei, missed call zinafika saba....Dakika
kumi na tano baadaye anakuandikia meseji huku akitaja jina lako
tena kwa ufupi. Hi ( Jina lako ), leo tunaweza kuonana? mcn u a
lot my dear!
Masista du acheni utoto na mapenzi ya kitamthiliya, huyu ndo
amesha mwagwa hivyo, zile zama za kunyenyekea papuchi zimekwisha
pitwa na wakati...
Upo naye katika uhusiano, siku moja mnagombana , anakuandikia msg au anakupigia simu , "usinipigie simu wala kunitumia meseji zako tena and all that, futa namba yangu ya simu na mimi nafuta yako." ( ANAPIGA BONGE LA MKWARA ), then mtu mzima unapiga kimya, baada ya siku tatu, anakutumia meseji " Honey, a miss u alot jamani utakuwa free saa ngapi? mi nimeshajiandaa tayari nasubiri tu sms yako, nichukue gari nije ..Love u so much hun mwaah". Mtu mzima unapiga kimya, hauijibu hiyo meseji.. Baada ya dakika tano hivi,. Anakutumia meseji nyingine anasema " Samahani hiyo meseji imekuja kwako kimakosa ". Mtu mzima unapiga kimya. Baada ya dakika thelathini anakupigia simu, haupokei, missed call zinafika saba....Dakika kumi na tano baadaye anakuandikia meseji huku akitaja jina lako tena kwa ufupi. Hi ( Jina lako )duh huyo dada ni noma.
Mwanaume hasusi hata siku moja. Akijipendekeza mkwangue, msimamo pale pale.