View attachment 75916 Jamani huyu mweneztu zinapokaribia ckkuu kama hizi kwake ni crisis badala christmass na akiponyoka xmass, inakua ni New Fear Badala ya New Year
Kipindi kama hiki cha sikukuu ndege kama hawa huwa na wakati mgumu sana kwani huishi kwa mashaka mashaka kwa kuhofia kuchinjwa kwa ajili ya kitoweo cha sikukuu hizo.
Ng'ombe wakiwa katika eneo la machinjio ya Kimara jijini Dar -es - salaam.Kitoweo cha nyama ya ng'ombe hupendwa sana na watanzania wengi hasa siku za sikukuu.Hata hivyo bei ya kitoweo hicho inapanda kwa kasi ya ajabu.Wiki iliyopita wakati wa krismass baadhi ya maeneo ya jiji iliuuzwa kuanzia shilingi 9500 mpaka 10,000 si hatari hiyo? Au tuanze kula pilau ya mchicha?
Mmmmhhhh huo mkao wa huyo mdada.....!!!1 japo mie mwanamke ila najua kuna wanaume hapo wakiutazama huo mkao unaamsha hisia, maana amekunjika hadi kunoga.