Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,888
Ndugu zanguni wote wa JF kuanzia wale ambao ninakubaliano kimawazo wakati wa kuchangia na wale ambao tunakubaliana kila mara napenda kwa ujumla wetu kuwatakia Heri ya Christmas.Naomba reconcialliation wakati huu wa majilio na hatimaye tuzike tofauti za kiroho na ila tuendeleze kushindana kifikra na kimawazo kwa nia ile ile ya kuijenga Tanzania yetu .
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote na mwaka mpya uwe wa heri na mafanikio kabisa.Na mimi naendeleza mapambano kabisa toka hapa Wilaya mpya ya Rorya .Karibuni Rorya siku ya siku nitachinga mnyama hapa kwangu .