Merry Christmas toka Wilaya ya Rorya

Status
Not open for further replies.

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Ndugu zanguni wote wa JF kuanzia wale ambao ninakubaliano kimawazo wakati wa kuchangia na wale ambao tunakubaliana kila mara napenda kwa ujumla wetu kuwatakia Heri ya Christmas.Naomba reconcialliation wakati huu wa majilio na hatimaye tuzike tofauti za kiroho na ila tuendeleze kushindana kifikra na kimawazo kwa nia ile ile ya kuijenga Tanzania yetu .

Amani ya Bwana iwe nanyi nyote na mwaka mpya uwe wa heri na mafanikio kabisa.Na mimi naendeleza mapambano kabisa toka hapa Wilaya mpya ya Rorya .Karibuni Rorya siku ya siku nitachinga mnyama hapa kwangu .
 
Mi nitajitahidi kufika madamu kuna hiyo incentive, nyama kwa miji kama dar itafika kwenye 4000/- sio mchezo hakuna raha ya siku kuu kabisa
 
rorya lilikuwa jimbo la nani tena??Marando kama sikosei..sasa lunyungu unalitaka??
 
Ndugu zanguni wote wa JF kuanzia wale ambao ninakubaliano kimawazo wakati wa kuchangia na wale ambao tunakubaliana kila mara napenda kwa ujumla wetu kuwatakia Heri ya Christmas.Naomba reconcialliation wakati huu wa majilio na hatimaye tuzike tofauti za kiroho na ila tuendeleze kushindana kifikra na kimawazo kwa nia ile ile ya kuijenga Tanzania yetu .

Amani ya Bwana iwe nanyi nyote na mwaka mpya uwe wa heri na mafanikio kabisa.Na mimi naendeleza mapambano kabisa toka hapa Wilaya mpya ya Rorya .Karibuni Rorya siku ya siku nitachinga mnyama hapa kwangu .

Mzee kama umefika huko naomba utuleteee habari ambayo nasikia Diwani mmoja wa CCM katika jimbo hilo baada ya kuukwaa aliamua kuondoka kijijini nakuelekea mjini akimaanisha yeye ameukata.Hawezi kuishi tena na jamii hiyo.

Naomba ututafutie habari hii mzee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom