Haina hata siku tatu.ni ya muda mrefu
moja ya vyanzo vya mapato vya Al-qaida chini ya uongozi wa Osama ni biashara ya Tanzanite na walifungua ofisi Nairobi. Hii taarifa ilitoka baada ya ulipuaji wa balozi za Kenya na Tanzania.Haina hata siku tatu.
MBNA aliufunguki?!Algorithm imenitumia hii youtube doc about tanzanite mafia kuna mpaka al-qaida ndani,
Sijui kama ni ya zamani na ilishawekwa hapa jf, lakini its interresting
View: https://www.youtube.com/watch?v=HmGC4D1_ccI
Documentary imezungumzia hadi ugunduzi wa Tanzanite miaka ya 1960's. Huwezi kuiita ya zamani kwa kuzungumzia historia.moja ya vyanzo vya mapato vya Al-qaida chini ya uongozi wa Osama ni biashara ya Tanzanite na walifungua ofisi Nairobi. Hii taarifa ilitoka baada ya ulipuaji wa balozi za Kenya na Tanzania.
Hii documentary inaweza kuwa mpya ila taarifa za Al-qaida kujihusisha na biashara ya Tanzanite ni ya muda mrefu.
Correction: Jumanne, the discoverer of the Tanzanite, was finally awarded TZshs. 100,000,000 by the buldozer, Magufuli RIP, towards the end of the former's life.Algorithm imenitumia hii youtube doc about tanzanite mafia kuna mpaka al-qaida ndani,
Sijui kama ni ya zamani na ilishawekwa hapa jf, lakini its interresting
View: https://www.youtube.com/watch?v=HmGC4D1_ccI
Hakika unatafuta vita na Lucas MwashambwaThis shows you how lawlessness, unorganised and undisplined Tanzania is. Led by clueless, corrupt ridden, brazenly idiotic leades.
Huwa hutetemeki mikono🤣🤣Miaka 37 sasa toka nianze nakunywa bwii tu na sina abari.
Sasa siku nishindie maji na Cola au juice.
Kwanza utanionea huruma.siku 3-4 ntakua nimekodoa tu km popo😠.
Alafu balaa kulala,unaingia asubuhi mapema kazini..
Hizo hasira unaweza kupiga teke hata dustbin mradi tu.
Ukutane na boss mnoko unaweza kumkaba hadi ukaua.
Yote ni stress za usingizi hujanywa bia.
Mi natafuna sa hii badae mpk sa 12 asubuhi niko poa siku nzima.