Mererani Mafia Tanzanite, hii documentary ni nzuri

Haina hata siku tatu.
moja ya vyanzo vya mapato vya Al-qaida chini ya uongozi wa Osama ni biashara ya Tanzanite na walifungua ofisi Nairobi. Hii taarifa ilitoka baada ya ulipuaji wa balozi za Kenya na Tanzania.
Hii documentary inaweza kuwa mpya ila taarifa za Al-qaida kujihusisha na biashara ya Tanzanite ni ya muda mrefu.
 
Documentary imezungumzia hadi ugunduzi wa Tanzanite miaka ya 1960's. Huwezi kuiita ya zamani kwa kuzungumzia historia.
 
Back
Top Bottom