Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,580
Ukabila tutaumaliza lini jamani?kwa nini tufikirie kuwa majibu hayatatoka kwa sababu mkemia ni msukuma?
raisi alipomteua pinda alitakiwa afanyembadiliko pia na makatibu wa wizara ilikumpa pinda katibu mwingine.lakini kuwaacha wale wa lowasa,haya ndio matatizo yake.
hawa wataendelea kumpinda pinda mpaka na yeye ataondoka kama mwenzake.kuna hatari ya kuwa na mawaziri wakuu wanne kabla jk ajamaliza muda wake.
Ndugu yangu bado uko kwenye ndoto kwamba Tanzania hakuna Ukabila. Hakukuwa na Ukabila huko nyuma miaka ya 70 siyo leo. Unakumbuka Basil Pesambili katika bajeti zake alihakikisha anatenga bilioni 7 kwa kilometa 37 tu jimboni kwake wakati kuna kilometa zaidi ya 200 alizitengea milioni 200 tu. Unajua ni kwanini? Huo huo unaodhani haupo. Kwa taarifa yako tusitibu jipu kwa kupaka mafuta. Ukabila upo.
Inamaana Waziri Mkuu amelidanganya Bunge ?? Hapa sijui kama hajatoswa na kutolewa ushamba bungeni.
Pamoja na kusisitiza kuwa meremeta ni wizi mtupu, mhe. Zitto amezungumza kwa kuthibitisha kuwa yeye alikuwa kwenye kamati ya madini, anafahamu meremeta ni wizi mtupu, haihusiani na masuala ya usalama kabisa na ndiyo maana kamati yao ilikuwa na wajumbe kutoka sekta binafsi ambao hawajafanyiwa vetting lakini waliruhusiwa kufanya uchunguzi wa mambo ya meremeta, kama ingehusisha mambo ya usalama hawangeruhusiwa. Mhe. Pinda hakuwepo bungeni leo.

Sio muda wa CCM kupelekwa madhabahuni!bali ni muda wa viongozi mafisadi na wala rushwa na waongo kupelekwa madhabahuni!Naona Muda wa CCM kupelekwa madhabahuni unakaribia tujipange vizuri 2010 njia ya mwongo ni kama mkia wa mbuzi
Sio muda wa CCM kupelekwa madhabahuni!bali ni muda wa viongozi mafisadi na wala rushwa na waongo kupelekwa madhabahuni!
CCM ni safi haina kosa!
ikithibitika pinda kalidanganya bunge, six atafanyaje?
ikithibitika pinda kalidanganya bunge, six atafanyaje?