Hii ripoti kwa mtazamo wangu imekaa kama one long, winding narrative ambayo inauliza maswali meeengi badala ya kutupatia majibu. Footnotes ni sparse na zinanukuu general sources of information, mostly printed media badala ya kutumwagia ushahidi madhubuti usiopingika i.e. "hard concrete evidence". Hatuonyeshwi takwimu wala nyaraka zinazotumiwa kwenye ripoti. Au vyanzo vyote ni siri? Kama ni hivyo basi credibility ya hii ripoti siyo kubwa. Simple speculations zimekuwa nyingi mno kwenye hii ripoti.
si unayo....itafsiri mwenyewe.....Mwanakijiji;
Iweke kwa lugha ya kiingereza. Nina maana yangu.
FP
jamaa wameshafanya mambo yao, ukifungua vielelezo unajikuta uko kwenye link nyingine kabisa
hakika kuna umuhimu wa kila mwananchi kutembea na panga...ujinga kama huu uwezi kuwaona wahusika ukawavumilia...
ni kweli tunaweza ionaNahisi sasa tutaiona magazetini kesho na kuendelea!
Nimeanza kusoma hii ripoti mwanzoni tu nikabaki sina mbavu. Mwanakijiji anaanza kwa kuwashukuru watu untraceable au hawa exist in real life, Rev. Kishoka, SteveD, Dua, Ka-Inzi.... hahhaaaaaaaaaa!
You know, SteveD, Rev. Kishoka, etc. are among the most trenchant commentators around here, but really, who the hell is a "SteveD"? Hahahahaaa! Yani ripoti imekaa kama posti ya JF hivi....I'm mean, kwenye dibaji Mwanakijiji anakashukuru Ka-Inzi! Ndio source! hahahahaaha... Kuna ndugu zangu wamepumzika hapa nitawaamsha bure kwa kelele za kucheka...nitasoma kesho hii kitu, kwa sasa imenivunja nguvu!
Dilunga, Natumaini yaliyokuvunja nguvu ni yale yaliyomo ndani ya ripoti na si dibaji pekee au kutokana na kucheka sana kama ulivyo dokeza hapo juu.
Kwa kweli sielewi kwanini unacheka cheka sana hata kuogopa kuweza kuamsha nduguzo kwa kusoma ripoti tu. Kwani hata kama ina makosa, sidhani kama yatakuwa ni makosa ya kumfanya mtu ajichekeshe chekeshe hata kushindwa kusoma.
Umejiandikia historia ya ujasiri mimi nitakukumbuka daima kama mpiganiji mkamilifuHuu ndio uzalendo uliotukuka. Asante kwa yote na tunapaswa kuiga hili.
Wacha tuusome kisha TUKASIRIKE