Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,423
- 7,939
MERCEDES BENZ iliyotengenezwa kwa dhahabu nyeupe Safi (pure white gold) inayomilikiwa na tajiri wa mafuta wa Abu dhabi.
Gari hili limetengenezwa kwa dhahabu nyeupe 18k na kuwekwa injini ya V10 turbo engine yenye nguvu(horse power)1600,likiwa na mwendo wa kilomita 0 Hadi kilomita 100 ndani ya sekunde mbili.