Menu ya leo kwenye hotel za mbugani!!

Menu ya leo kwenye hotel za mbugani!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,948
Reaction score
9,464
MENU YETU LEO MBUGANI HOTEL.Chips Swala 2000, Supu ya Mamba 5000, Wali Simba 7000, Snake bite 1000, Ugali Chui 4000, Beef Twiga 3000, Mshikaki wa nungunungu 800, Tembo choma 4500, Mchemsho wa Fisi 3500, Ngiri Rost 2500, Ndizi Sokwe 6000, Mayai ya Bundi 500, na Juicy ya dodoki 300.! Karibu sana
 
ha ha ha, nimeipenda hiyo wali simba. Huo mchemsho wa fisi wala sitaki hata kwa ofa.
Ndizi sokwe sounds funny!
 
juice ya dodoki lazima ina vitamin nyingi......leta hiyo....
 
Naomba order zenu mapema vitu viko jikoni na watu wanagombania first come first................
 
Aiseeeeee
Nahitaji supu ya simba na tembo container tatu nataka kupeleka Uru-Kishumundu!!!!!!!!
 
haahaahaahaahaa hii kali aisee! nimecheka hadi mbavu zinauma du! mi naomba huo mchemsho na pilipili ya kutosha
 
menu yetu leo mbugani hotel.chips swala 2000, supu ya mamba 5000, wali simba 7000, snake bite 1000, ugali chui 4000, beef twiga 3000, mshikaki wa nungunungu 800, tembo choma 4500, mchemsho wa fisi 3500, ngiri rost 2500, ndizi sokwe 6000, mayai ya bundi 500, na juicy ya dodoki 300.! karibu sana

nimependa sana hiyo kwenye bold, niandalie bill please!!
 
Juicy ya dodoki 300
nipe hiyo mkuu
najua itanifaa kwenye huu uzee.

hiyo bei ni hela ya madafu au ya kwa mzee obama mkuu.
 
Nipatie mchemsho nyani mishikaki ya konokono na juice ya upuu hapa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom