Karibu mbugani hotel.. Hii ndo menyu ya leo.. supu ya mamba 2500 ugali chui 3500 ndizi sokwe 4500 wali kiboko 5000 tembo choma 6000 wali simba 7000 supu ya fisi 3000 mishkaki nungunungu 2000 supu ngiri 3000 juice ya dodoki 500 nzi kuchoma 2500 chips swala 1500. Karibu sana,