Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
huwa nawaombea sana nyie wadogo zangu mpate wadada wanaomjua Mungu....aiseeeeeeeeeeeeeeeee... Kweli dunia ina mambo
huwa nawaombea sana nyie wadogo zangu mpate wadada wanaomjua Mungu....
My only brother hajaoa, na bahati mbaya alishajiweka vizuri sana kimaisha. Nafurahia sana mafanikio yake maana nilikuwa nampigia kelele mno afike hapo, lakini namwonea huruma sana.
Sitaki kumwingilia maisha yake, ila angenipa chance ningemtafutia mdada mrembo anayemcha Mungu. kwa sasa naishia kumwombea tu
Is it to get a man? or it depends with the man?
isit about those girls or its about some guys with some kind of attractions?
Sure Ngauti mimi ningejitahidi kumpeleka walau akafanyiwe maombi kwa imani ya dini yake ili aachane na hayo mambo ya ushirikina, na inaonekana yule dada yake ndo amemuharibu. Nisingekubali kumuona anaendelea kupotea dhambini.... kama angekataa hilo ningemtafutia wataalamu wa saikolojia wampe ushauri wa kisaikolojia ili aweze kujiamini zaidi kuwa anaweza kumpata yeyote bila hata kutumia ushirikina kutokana na jinsi alivyo...Tatizo lake kubwa hapo ni Kutojiamini na Kutojitambua... Ni case ambazo unaweza kuzi solve kisha mkaendelea na uhusiano wenu kama kawaida kama upo serious lakini.. Baada ya kuwa fit kisaikolojia na kujitambua ndipo sasa ningeanza zoezi la kumshawishi aombe Toba kwa Mungu ili asamehewe yote pia avunje maagano na mambo yote ya kishirikina....
What are you insinuating brother?
Ngauti, please, najua unasema hayo koz hayajakutokea.
BTW, did I say, dada wa huyo binti alikuwa anaishi na mumewe kwa kumuweka kwenye chupa?
Walikuwa wanawasiliana na mganga wao na kupewa masharti ya kishirikina...
Halafu uniambie mambo ya kurudiana naye eti kama nipo serious? I swear i would not get married if all ladies wangekuwa washirikina.
huwa nawaombea sana nyie wadogo zangu mpate wadada wanaomjua Mungu....
My only brother hajaoa, na bahati mbaya alishajiweka vizuri sana kimaisha. Nafurahia sana mafanikio yake maana nilikuwa nampigia kelele mno afike hapo, lakini namwonea huruma sana.
Sitaki kumwingilia maisha yake, ila angenipa chance ningemtafutia mdada mrembo anayemcha Mungu. kwa sasa naishia kumwombea tu
Mentor kumbe walikuwa wanakuboost,
Duh umenifanya niwe scared duh hawa wanawake wengi wao wanaboost
Kuhakikisha anapata pesa kama kuvaa chupi kwa mwezii
Waomba lift wangekuwa wengi(haswa wanaume).kuendesha gari bila kuvaa chupi
Shaka ondoa mdogo wangu, nitakuombea....
Usikatishwe tamaa na huyo mmoja mdogo wangu
huwa nawaombea sana nyie wadogo zangu mpate wadada wanaomjua Mungu....
My only brother hajaoa, na bahati mbaya alishajiweka vizuri sana kimaisha. Nafurahia sana mafanikio yake maana nilikuwa nampigia kelele mno afike hapo, lakini namwonea huruma sana.
Sitaki kumwingilia maisha yake, ila angenipa chance ningemtafutia mdada mrembo anayemcha Mungu. kwa sasa naishia kumwombea tu
Shaka ondoa mdogo wangu, nitakuombea....
Ila na nyie wenyewe msisahau kujiombea, ni muhimu sana kwa kutafuta mwenza wa kuishi naye.
wewe Nicas (kama sijakosea) kuna sala ya kupata mchumba mwema, huwa unaisali mara ngapi kwa mwezi? tafuta chuo kidogo cha sala, (kama nimekosea naomba unisamehe, ila unaweza sali kwa kadiri Mungu atakavyokujalia)
Kaunga, kaunga na mimi naona ajali baada ya huo mkono kufika pahaliYaani kama naiona mkono wako unafanya nini vile ukiendeshwa na mdada aso vaa chupi.
Nalijua hilo saudari, ndo maana nimesema naishia kumwombea tuWe endelea kumuombea Mungu tu si unajua kumchagulia mtu mke/mume sio vizuri.
Inaweza kuja kukucost mbeleni mambo yakiharibika, lawama zitakuangukia.
safi sana mdogo wangu,Hilo ni suala ambalo lipo kinywani mwangu katika kila muda ambao nakuwa mbele za Mungu{Maombi}... Ki ukweli wengi wameshau kumwambia Mungu kuhusu aina ya wenza wanaowataka... Vijana wengi huwa wanaomba Mungu awape mafanikio ya kimaisha pekee..... Bado sijakata tamaa. Najua Mungu ameniandalia mke mwema. Ni suala la kusubiri wakati wake tu na sitaacha kumkumbusha.... Kuna hali inaitwa PUSH{Pray Until Something Happen}.. Na apply hiyo PUSH.....