Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 31,596
- 90,512
Asante sana!Mjumbe hauwawi mkuu, kesho ntajitahidi kuifafanua
Usiku mwema,
Kwako pia mjumbe..😅
Asante sana!Mjumbe hauwawi mkuu, kesho ntajitahidi kuifafanua
Usiku mwema,
Braza kaka Shikamooo
Naam mama mtumishi u hali gani??
Yupo analia hakuoni kumbe umechange userjina😃Razorblade
😄 🤣
Shwari kaka😂 umepoteaBraza kaka Shikamooo
Nipo kaka mambo yamekua mengi kidogo muda wa kuja jukwaaan umekua finyuShwari kaka😂 umepotea
Ukubwa ndio umri wanguu 😂Nipo kaka mambo yamekua mengi kidogo muda wa kuja jukwaaan umekua finyu
Braza si nimekusalimia kabisa🤣Ukubwa ndio umri wanguu 😂
Majukumu yanazidi
Nimekujibu mkuu hujaona au?Braza si nimekusalimia kabisa🤣
HahaaYupo analia hakuoni kumbe umechange userjina😃
Mungu ni mwema kwakweli im goodNaam mama mtumishi u hali gani??
Au sioNipo kaka mambo yamekua mengi kidogo muda wa kuja jukwaaan umekua finyu
Haya mambo ya lipa namba jf nilikua naona kama matani mtu akiniambia napotezea.Au sio
Mwambie ndugu yako nahitaji bundle laa sivyo namuacha
Hahaha
Lipa ya ttcl ninayo
kwahiyo Mwaka wa Mbele kashaanza kukuspoil na hausemi😎Haya mambo ya lipa namba jf nilikua naona kama matani mtu akiniambia napotezea.
Juzi mtu akaniambia nikasema ebu nimtumie nione nikashangaa dk 10 nyingi muamala umesoma😂
Mwaka wa mbele aanze kunispoil mimi kabla ya wewe? Masikharakwahiyo Mwaka wa Mbele kashaanza kukuspoil na hausemi😎
Mkubwa wewe sasa 😃Nimekujibu mkuu hujaona au?