Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

WAumini wa sasa wabishi sana dili la kanisa haliwezekani.
nilikua ndanindani mkuu, suala la kujiuzulu ndo limenivuta kwa nguvu kubwa.

Nafurahi kukuona
Hawatoi sadaka kwa wakati? Haha tutashirikiana kuwalaghai hilo ondoa shaka!
Usiwe unapotea sana aisee, siku mojamoja unachungulia humu kinaendelea nini..

Nafurahi piaa😛
 
Back
Top Bottom