Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 166,196
- 184,908
Tulia basi nikutongoze...Nipunguze au niongeze!? Nipe huo muongozo. Weekend itaisha hio. Halafu baridi 😝
Kwa huu ujasiri wako utanipanda kichwani...
Tulia nikupande mimi...
Tulia basi nikutongoze...Nipunguze au niongeze!? Nipe huo muongozo. Weekend itaisha hio. Halafu baridi 😝
Bila kunitaja Mimi Lovely Emmy bado hujataja ma handsomeNomadix
Mkaka mzuri jf😊😹
Sababu lukuki unazo acha kujifanya mrembo wangu..😘Certified Hater sina sababu mkuu 😄
Long time sana mtangaNipo Mtanga na umemisiwa
Njoo tulale 🤩Angel Nylon uwe na usiku mwema...
Dah!! Nitakusumbua hutolala... Nitakunesesha...Njoo tulale 🤩
mpatia bwana hicho anachotaka asije akufunga na huu uzi 😂😂
Aje afunge kama yeye mwanaume kweli 😂, asinitishe!mpatia bwana hicho anachotaka asije akufunga na huu uzi 😂😂
Niambie mpendwa!
Kumbe na wewe unashirikiana na staff wenzangu wenye vijiba vya roho 😂 😂Ule uzi mm ndo nimeufunga niliona Binti wa zamani anapoelekea atataja hadi mshahara wangu