Umenitupa😂😂😂Eh! 😀 mambo mrembo wangu
Nimekutupa wapi! hahaUmenitupa
Khaa.English yake ni My Love 🥰🥰🥰
Ndege keshakuwa wako...manati ya nini?Naomba nikutongoze...
Ushaelekea kibla tayari kwa hiyo niache papara...Ndege keshakuwa wako...manati ya nini?
Wanaume hamchomgeanagii weh! Mwache mwanaume ale vitamu na mema ya duniaaaaaaa bana nguvu zipo resource zinaruhusuuu!🤭
Mbona umepoa sana, hauni miss...Abee
Nimepoa sana kwa sbb nakumiss mpaka naumwa. Nifanyeje!? Naomba muongozoMbona umepoa sana, hauni miss...
Nakupa miongozo sasa hivi...Nimepoa sana kwa sbb nakumiss mpaka naumwa. Nifanyeje!? Naomba muongozo
Nasubiri...hapa hapa na members wengine wapate faida 😅Nakupa miongozo sasa hivi...
Mambo yetu tuachiwe wenyewe...Nasubiri...hapa hapa na members wengine wapate faida 😅
Nimekwambia nakumiss...weekend ndio imeanza hio. Nipe tu huo muongozoAngel Nylon mbona wanichekea na Ahsante kwa kutonilia nauli yangu...
Punguza ujasiri kidogo nikupe muongo...Nimekwambia nakumiss...weekend ndio imeanza hio. Nipe tu huo muongozo
Nipunguze au niongeze!? Nipe huo muongozo. Weekend itaisha hio. Halafu baridi 😝Punguza ujasiri kidogo nikupe muongo...