Zimekuja mbili ya kwangu na ya dosho12 sijui tumeunganishwa kwenye system 😂Umepata notification mkuu?
Zimekuja mbili ya kwangu na ya dosho12 sijui tumeunganishwa kwenye system 😂Umepata notification mkuu?
Mic test, umepata notification?Mic testing ! testing !
Kumbe ndio maana wote ni arsenal 😂😂😂Sisi ni acc ya mtu mmoja kaka 😂
NimepataMic test, umepata notification?
Mimi si shabiki mpira kaka, mpira ni dhambi 😅Kumbe ndio maana wote ni arsenal 😂😂😂
Goli Moja tena la faulo limefanya ukatae timu yako hebu acha mambo yako 😂😂😂Mimi si shabiki mpira kaka, mpira ni dhambi 😅
Mmeshaunganishwa, kaeni kwa kutulia sasa!Zimekuja mbili ya kwangu na ya dosho12 sijui tumeunganishwa kwenye system 😂
Unajimention mwenyewe, au siyo?
Safi, ngoja nikaanzishe fujo kijiweni sasa!Nimepata
kinachoniuma ni kuwa ile mechi tulifaa kushinda maana liva hakuna kitu paleGoli Moja tena la faulo limefanya ukatae timu yako hebu acha mambo yako 😂😂😂
Mliyamiliki majogoo ila mkachinjwa nyie 😅😅😅kinachoniuma ni kuwa ile mechi tulifaa kushinda maana liva hakuna kitu pale
Naona mpaka ujumbe wake wa pm nausoma hapa 😂😂😂Mmeshaunganishwa, kaeni kwa kutulia sasa!