Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,220
- 79,729
Jamani 😂 😀😀😀Nipo fresh
Mkeo hajambo?
Kuna mtu unamvizia? Ndio maana unajifanya upo singleJamani 😂 😀😀😀
Sio kweli 😀 😎 mtu wenyewe ninae mvizia ananizungusha zungusha tu kanigomea kuja kigamboni 😀Kuna mtu unamvizia? Ndio maana unajifanya upo single
Nauli umetuma?Sio kweli 😀 😎 mtu wenyewe ninae mvizia ananizungusha zungusha tu kanigomea kuja kigamboni 😀
Nimempa Kila kitu yeye tu miyeyusho na yupo humu humu ila baadae kaniambia anakuja ndio nasubiria meseji yake hapa kwa hamu mno 😀 😎Nauli umetuma?
Congo dust umeshapaka?Nimempa Kila kitu yeye tu miyeyusho na yupo humu humu ila baadae kaniambia anakuja ndio nasubiria meseji yake hapa kwa hamu mno 😀 😎
Hello Cassano,
Asante sana.Nimekumisi kweli kweli 😋
Sahv pm zangu sizioniNjoo PM tuyajenge 😘
Vipi kulikuwa na usalama lakini?Asante sana.
Nami pia nimewamiss
😀😀😀Congo dust umeshapaka?
Hello 👋 Mambo 😎Hello Cassano,
hako ka emoji kamekaa kimchongo sana.!😂Hello 👋 Mambo 😎
Usalama upo mwingi tu.Vipi kulikuwa na usalama lakini?
Hiyo ni furaha yanguUsalama upo mwingi tu.
Wala usijali.