Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
Salaam Mkuu
Salaam Mkuu
SawaNdio najua na namfahamu
Niambie baMtu una mpya?
maMtu nipo hapa natafuta helaaa 🥴🥴Niambie baMtu una mpya?
Sawa mtafutie hela Aviola, ndiyo majukumu yako hayo.maMtu nipo hapa natafuta helaaa 🥴🥴View attachment 3399748
Sawa maMtu 😜 😜... ila kama moyo unakuwa mzitoo tena kuhonga hela inapatikana kwa majashoo hiviSawa mtafutie hela Aviola, ndiyo majukumu yako hayo.
Sasa utafanyaje na umedata kwenye miuno ya feni ya mrembo Aviola 🤣 🤣Sawa maMtu 😜 😜... ila kama moyo unakuwa mzitoo tena kuhonga hela inapatikana kwa majashoo hivi
🙂🙂 leo nalala lala, nimeamka ninerudi kulala, nimeamka tena hapa nasikia usingizi narudi kulala ... niokoea kibundaa miuno haitajilishi 🤣🤣Sasa utafanyaje na umedata kwenye miuno ya feni ya mrembo Aviola 🤣 🤣
Naona umeandika ukiwa na usingizi maana havieleweki, hebu lala kwanza 🤣 🤣 🤣🙂🙂 leo nalala lala, nimeamka ninerudi kulala, nimeamka tena hapa nasikia usingizi narudi kulala ... niokoea kibundaa miuno haitajilishi 🤣🤣
🙏🙏 maMtu. leo sielewi sio kawaida kuwa na mausingiziNaona umeandika ukiwa na usingizi maana havieleweki, hebu lala kwanza 🤣 🤣 🤣
Lala tu baMtu 😴💤🙏🙏 maMtu. leo sielewi sio kawaida kuwa na mausingizi
bye badae maMtu 🫡Lala tu baMtu 😴💤
My lovely momy..
Nikikuita huji, nikikutafuta uje home huonekani.My lovely momy..
I wass miss you so much