vocha za buree wanapataa, si shem wao kwa toleo jipyaa, anawapa kwa muamalaa.
Useme wanalia kisa chimbo LA kupepesuka nalo wamelifyekelea mbali na ukute hawakua na chimbo lingine, mbna kisangaaa.
sisi wengine, JF iko mabegani kila tunapo timba oyaaa oyaaa.