Mention someone without any reason just to disturb them

Mhm!! Bichwa lako box usome PCM thubutuuu!!!


Ebu nikachekee washroom nioge kabisa
Hamna o level nilipata Div 1, ningetaka pcm ningesoma tu


Nilienda HGL kwa sababu mbili
Niijue vizuri language na nifaulu vizuri sana nipate nafasi UD.
Maana miaka ile chuo kilikua ni kama hicho tu na competition ni kubwa. Cutting points zilikua juu sana
 

Hiyo ni UONGO


Sema wewe ulikuwa unapapenda daslam, ko MU ilikuwa IDM enzi hizo haikuwa na competition? Ilikuwa mwaka gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…