mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,936
point kubwa umeongea,Hakunaga nafasi ya ego kwa aliyependa kweli
shukran mwanangu sana
point kubwa umeongea,Hakunaga nafasi ya ego kwa aliyependa kweli
Haina noma...point kubwa umeongea,
shukran mwanangu sana
Marahaba youngie, hujambo 😂niambie mchuchu
kwanzia leo niite mpwiloka😂Marahaba youngie, hujambo 😂
Sawa Mpwiloka wetu 🤣🤣🤣kwanzia leo niite mpwiloka😂
Hatimaye umefikiwa na machakubimbi malayer kipeuo cha kwanza 😂watu hawana huruma kabisaa yaan.
Madada toleo jipya ni janga kwa taifa pole 😹😹😹hatariii bora anyapie kwa mama mtumishi, kuna matoleo mapya mjini ni nyaku nyaku hao hatarii, na wameaga kwao vyemaa.
Yaan uduguuu angu akirudi, sijui ataanzia wapiii.
Tuko wengi😂😁😁, ban ya Muda gani?National Anthem wamenipiga ban hata kureact siwezi
sio selfikaTuko wengi😂😁😁, ban ya Muda gani?
Ya usiku wa manane au??sio selfika
picha za warembo,Ya usiku wa manane au??
Ndo thread gani hiyo🙉🤔picha za warembo,
niliweka picha za uchi.
huwezi ijua, sijawahi kuona post yako kuleNdo thread gani hiyo🙉🤔
Kwani Kuna thread ya Picha, tofauti na selfika??huwezi ijua, sijawahi kuona post yako kule
kujifanya jinga sometimes unaonekana mjinga kweli😂Kwani Kuna thread ya Picha, tofauti na selfika??
Nime uliza mzee??, Serious sijui🤔kujifanya jinga sometimes unaonekana mjinga kweli😂
ingia jamii photos kwenye social forums kuna nyuzi za picha na video tuNime uliza mzee??, Serious sijui🤔
Sawaingia jamii photos kwenye social forums kuna nyuzi za picha na video tu
Wala hatupo huko. Hapa nipo namuwaza kyutiHaya baba mtumishi to be
Usiku mwema