cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,296
Weka wazi basi, mambo ya mafumbo tena vipi?






Wewe nawe msubiri mkeo arudi mmalizane
Nasikia uko kunyapia, uko huru ss hivi




hatariii bora anyapie kwa mama mtumishi, kuna matoleo mapya mjini ni nyaku nyaku hao hatarii, na wameaga kwao vyemaa.Km mie huyo ex wangu nilimchachua na kumchangamsha mwenyewe, cha ajabu kapitiliza kuchachuka ananishandua had mie mwenyewe mkufunzi wake.Aloo! Mkeo kashakuambukiza umbea
Unaendeleza kashkashi zake!






Cocastic kasema dada ake anaibiwa mume na mama mtumishi
Eti mwaka wao wa kuibiwa




ongezaaa sautiii nyaku nyaku wasikiee.Waache wapendanao hao
Kwanza unataka kujua nini?
Yako yanakushinda, ya wenzio utayaweza?





khaaaahOoh hapo sawa sweetheartKipenzi changu
Punguza wivu
Hakuna kuchepuka hapa
Huyu ni mdogo wangu sweetheart nashangaa kwa nini ananiita tena shemeji

Lini tena?hujapewa taarifa nimeachwaa, kuna toleo jipyaa mjini limeniporaaa.
Nime surrender woiiih
Nani huyo amekuzidi mautundu kungwi wetu?Muulize Kaka ako akupe taarifa,![]()
Matoloe mapyaa mjini, chezea weyeee.Nani huyo amekuzidi mautundu kungwi wetu?





Toleo jipya nyooohMatoloe mapyaa mjini, chezea weyeee.
![]()
Nipo mrembo
Unaadimika kama kaka kuona
Imekubali lol
Karibu tena jukwaani muhengaNipo mrembo
Kwa kudonoa sana...mabadiliko ni makubwa humu...kila nikiingia nakutana na mapyaKaribu tena jukwaani muhenga
Nimekumith afu nakupendawa Alaikum.
Ngoja niachane nayo basiAchana na maneno ya watu wenye wivu mrembo...😋