Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,576
Sijaelewa kitu hapo, anaongea kwa mafumbo sana. Aweke mambo waziAcha umbea![]()
Sijaelewa kitu hapo, anaongea kwa mafumbo sana. Aweke mambo waziAcha umbea![]()
Weka wazi basi, mambo ya mafumbo tena vipi?

Namnyapia nan tena?Wewe nawe msubiri mkeo arudi mmalizane
Nasikia uko kunyapia, uko huru ss hivi
Wala sio umbea, naona kaweka mafumbo tu wakati anaweza kuweka waziAloo! Mkeo kashakuambukiza umbea
Unaendeleza kashkashi zake!

Sijaelewa kitu hapo, anaongea kwa mafumbo sana. Aweke mambo wazi

Namnyapia nan tena?

Mm napenda mtu aseme straight sio mafumboCute kakuharibu sana, kweli umependa mpk mmeanza kufanana![]()

Wala sio umbea, naona kaweka mafumbo tu wakati anaweza kuweka wazi![]()

Mama mtumishi ana jina zuri sana tayana wag, ananichanganya. Nikijua anaposali nitaanza kwendaCocastic kasema dada ake anaibiwa mume na mama mtumishi
Eti mwaka wao wa kuibiwa
Mm napenda mtu aseme straight sio mafumbo![]()

Mama mtumishi ana jina zuri sana tayana wag, ananichanganya. Nikijua anaposali nitaanza kwenda

Waache wapendanao hao
Kwanza unataka kujua nini?
Yako yanakushinda, ya wenzio utayaweza?

basi sawaHapa soon nalala, navuta tu muda. Usingizi wenye stress huwa hauji kirahisiKalale mkeo anakusubiri
Wenzio saa hii wanatafuta watoto
Hapa soon nalala, navuta tu muda. Usingizi wenye stress huwa hauji kirahisi


Yule ndio ananipa stress nampenda sana, anasafiri sana sipati muda mwingi wa kukaa naeUna stress wakati upo huru, mkeo hayupo unatongoza unayemtaka
Ebu nikalale sitaki kusutwa
Mume wangu ananisubiri tufanye kilimo cha watoto![]()
Yule ndio ananipa stress nampenda sana, anasafiri sana sipati muda mwingi wa kukaa nae
Wala sijatongoza, nimemsifia tu mama mtumishi ana jina zuri

Good Morning kwako kipenzi changu mwanamke mwenye stara zake mjini, usiye na makuu wala hunaga dogo. Boss lady unayemiliki maduka ya nguo na vipodozi mjini. Boss unayependewa na wengi. Boss mrembo hapo hutumii makeupwala filter. Boss una nafasi ya kipekee katika roho yangu. Nakupenda sana malkia wangu wa nguvu Antonnia
Good Morning to you Lovelovie Saint Anne cocastic Tayana-wog Cute Wife Mnara wa Tz Amkenii kumekuchaaaaaaa mnalala na hamna hela![]()

We mtoto niache, nacheka kwa sauti afu nipo sehemu haihitaji kelele.
Watanigongea ss hivi wajue kimepanda
Kwahiyo umeporwa mume huku unaona?!
Dah! Watu wabaya sana




watu hawana huruma kabisaa yaan.