Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,945
Huyo simuulizi, namuambia, na intro nshampa hapo juu.
![]()
Ntakuchapa

Kamwambie chemba
Huyo simuulizi, namuambia, na intro nshampa hapo juu.
![]()

Hatariii tupuu![]()
Mbna mabwakuu sasa,Mwenyewe hapa nacheka ila sijui nacheka na nini?![]()




sema kweliiii

Ndio mume anabembelezwa
Mambo ya chumbani, msiyalete nje!
Dada yako Cute hakukupa kitchen party?![]()



ye mwenyewe machepele yake yote anaibiwa bwana na mama mtumishi, mie na yeye huku mwaka wetu, tunaachwa km soseji iliyokosa mlaji.ye mwenyewe machepele yake yote anaibiwa bwana na mama mtumishi, mie na yeye huku mwaka wetu, tunaachwa km soseji iliyokosa mlaji.
Kwanza natamani akujee.



Kwahiyo mwaka wenu wa kunyakuliwa mabwana?!
Hii imeenda aiseee!!
Huyo mama mtumishi ajiandae dada ako akirudi!
Nasikia kichaa kinampandaga akiona mtu anamnyapia mume wake



bora yeye anaibiwa wakati hayupo, mie ndo nanyakuliwaa live live huku naonaaa.bora yeye anaibiwa wakati hayupo, mie ndo nanyakuliwaa live live huku naonaaa.
Nchii ngumu hii wallah.



hujapewa taarifa nimeachwaa, kuna toleo jipyaa mjini limeniporaaa.
Nime surrender woiiih

Hii thread nayo haina maisha marefuWe mtoto niache, nacheka kwa sauti afu nipo sehemu haihitaji kelele.
Watanigongea ss hivi wajue kimepanda
Kwahiyo umeporwa mume huku unaona?!
Dah! Watu wabaya sana



Weka wazi basi, mambo ya mafumbo tena vipi?Unajizima dataa eeeh??
Nikulipue hapa hapa?
Afu uache uongo hata hufanani, unafiki na ukuda haukufaiii, najua unajua.
Nweiiii mambo yako nakuachia mwenyewe, taarifa niko nayo.
Hii thread nayo haina maisha marefu![]()
