Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,945
Unajizima dataa eeeh??Sweetheart
Kumbe upoo
Nikajua umeniacha
Umetekwa huko Peramiho
Na watu wa madini![]()
Ngoja nikachekee washroom kwanza mkojo umenibana![]()



naomba nikusindikize, tukacheke woteee.Sweetheart
Kumbe upoo
Nikajua umeniacha
Umetekwa huko Peramiho
Na watu wa madini![]()
Watu wa madini!!Unajizima dataa eeeh??
Nikulipue hapa hapa?
Afu uache uongo hata hufanani, unafiki na ukuda haukufaiii, najua unajua.
Nweiiii mambo yako nakuachia mwenyewe, taarifa niko nayo.

Huyo simuulizi, namuambia, na intro nshampa hapo juu.Basi muulize mwenyewe km huogopi![]()




afu sijui nacheka nn, khaaah

sasa nn si nimemjibu jamaniii??
