Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,944
kwan mnajuana?
Atakuwa kanifananisha



Mama mtumishi upako ukimzidia ananena kwa lugha
kwan mnajuana?



pisi nyeupe skuizi ni dume?Mimi dume mwenzio huogopi kuniita??![]()
Itakua, mama mtumishi safari tayari anayo.Atakuwa kanifananisha
Mama mtumishi upako ukimzidia ananena kwa lugha
Imepikwa kibishi mno, mizunguko ilikua mingi
Mambo ya kitchen magumu sana, alafu hata wanawake nao kuna ambao hamna kitu hiyo angle



Ngoja nimuite, ana tabia ya kunitumia sana mapicha akiwa huko kwenye maduka ya brands![]()

Imekatwa katwa nusu saa, imeoshwa dakika 40, imepikwa zaidi ya lisaaHii imeenda…..
Naenda kuchekea washroom


pisi nyeupe skuizi ni dume?
Saint Anne Saint Anne leo nimepika keki imefanana na wewe. Nimeiwekea na lips 👄 na kuanza kuinyonya. We ni mtamu sana.Sijambo poker
Naomba selfie yako
Imekatwa katwa nusu saa, imeoshwa dakika 40, imepikwa zaidi ya lisaa![]()




Kuna muda hadi usingizi ukawa unakuja kuja hiviSitaki niache kwanza![]()

Hana nomaKm ni huyo bas
Atanichamba sitaki
Hebu tuone,Saint Anne Saint Anne leo nimepika keki imefanana na wewe. Nimeiwekea na lipsna kuanza kuinyonya. We ni mtamu sana.

Basi tu sijazoea. Ila nilitaka kujaribu si unajua kuna siku vibe inakujaUlionja sana?![]()