Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,851
- 37,564
Acha roho mbayaNaenda kuchekea kitchen![]()
Mbona mi najua huna hiyo roho😅😅😅😅
Nitakugawia ,shauri yako
Acha roho mbayaNaenda kuchekea kitchen![]()
Nilitaka kushangaa maana najua una upendo toka moyoni😍🤭Haimtoshi hiyo ebu muongezee yani aende Dubs alafu asipitie hata kwa ZARA achukue slipper ya dollar 100![]()
😅😅😅Km jina lakeFifi wa moto 😂
Acha roho mbaya
Mbona mi najua huna hiyo roho
Nitakugawia ,shauri yako


Subiri kwanzaNa mimi nikupe account??
Si ndioooMi sina neno nasubiri ujazwe mshiko unigawie hata ya thoda tu!!![]()
Nilitaka kushangaa maana najua una upendo toka moyoni![]()

Subiri kwanza
Si nitakugawia kondoo wangu au![]()

Yaani sie wa vya kko jomoniii 🤣Kumbe una mrembo wa kuvaa brands!! Basi atakuwa yuko vizuri!! Sisi tushazoea midosho ya tandika.
🤣🤣🤣 mwanafunzi Yuko vzr ss hata mafungu ya kumi ameshajua cocastic unsona lknNiliona anataka kukimbia tukakosa fungu la kumi![]()
🤣🤣🤣Khaaambna cna?
Hata mi nimeliona Hilo😅Mimi sina roho mbaya mbona mama mtumishi, hapa nakazia upate na ya shopping![]()
Yaani sie wa vya kko jomoniii![]()



Heheee wapiiiMama mtumishi wewe wa mabrand bana, vya kkoo na tandika vya kwetu kina Lamomy hapa![]()