Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,851
- 37,564
Kabisaaa😅Huyo mzee wa kanisa aje hapa atuwezeshe![]()
Kabisaaa😅Huyo mzee wa kanisa aje hapa atuwezeshe![]()
Countrywide
Nitakutumia pm acc .maaha hapa wanazengo wasije anzaa
Ooh tayana kaonana na kantry ,wivu tu![]()


kumbe unaogopa? Heheee wapiii
Mie vitambaa tandikaa
Ila tu na kua na fundi mzuriii
Nacheki styl mitandaoni basiii
Ila wewe toto zuri lzm uvae brand huwezi kumilikiwa na mjinga mjinga![]()



kalaleBrand wapi!! Mi nishazoea sagula za tandika na Karume mwenzio
Tunaita bidii kuinama![]()
Utaoa kweli km unapika hivi?
![]()

kitu enyewe kabisa. Hamna haja ya ndoa hapoMtata sanaPesa ya kuagiza brands sina ila km kuna zile ambazo kazichoka, awe ananipa na mimi nivimbe![]()
Usijali utasahau ya kkooYaani sie wa vya kko jomoniii![]()
Mm ntakuunganisha nae wala usijaliMama mtumishi wewe wa mabrand bana, vya kkoo na tandika vya kwetu kina Lamomy hapa![]()
Kweli asee. Mambo yasije kuharibika mwanzo tuCountrywide
Nitakutumia pm acc .maaha hapa wanazengo wasije anzaa
Ooh tayana kaonana na kantry ,wivu tu![]()
Heheee wapiii
Mie vitambaa tandikaa
Ila tu na kua na fundi mzuriii
Nacheki styl mitandaoni basiii
Ila wewe toto zuri lzm uvae brand huwezi kumilikiwa na mjinga mjinga![]()


kwan mnajuana?njoo na wewe😋Fifi mmemalizana??![]()
Brand wapi!! Mi nishazoea sagula za tandika na Karume mwenzio
Tunaita bidii kuinama![]()


kitu enyewe kabisa. Hamna haja ya ndoa hapo

Imepikwa kibishi mno, mizunguko ilikua mingiHii naenda kuchekea chumbani kabisa watu wasinione![]()

Ngoja nimuite, ana tabia ya kunitumia sana mapicha akiwa huko kwenye maduka ya brandsMpeti peti anipe bas![]()



