Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,309
- 96,511
Nini shida 🤔, au we kidume mwenzetu mshamba_hachekwi 😂😁Akuuu
Nini shida 🤔, au we kidume mwenzetu mshamba_hachekwi 😂😁Akuuu
Shenzi sana huo ndio ugonjwaAna histrionic personality disorder huyo😂🤒
Aku mie musichana ila kikojoleo changu kimehamia kwaoNini shida 🤔, au we kidume mwenzetu mshamba_hachekwi 😂😁
😳HeeeeHuku inanyesha balaa Tayana-wog yaani natamani hata ungekuwepo jirani unipapase na unywele wako tu.
Kwakweli Bora undelee kutangaza amaniNili jisahau, natangaza amani tu😁
Nimekuja kwa ajili yako.
Sawa🤗🤗Nimekuja kwa ajili yako.
🙏🙏 Acha kabisa Mtani tunajinenepea tu huku sasa. 😅😅😅Shadeeya, Bantu Lady ya jana juzi na Asas. Tutakoma mwaka huu mwendo wa mikono tu
Hogereni bhana mtani🙏🙏 Acha kabisa Mtani tunajinenepea tu huku sasa. 😅😅😅