=tetere;7193443]Wanaume wengi huwa wanafunguliwa macho yao na matatizo kwenye mahusiano. Yaani tuna tabia ya kutokufikiri wala kujipanga. Naomba niseme hivi:
1. Tabia za wanawake ntingi zinafanana sana, they are very insecure anywhere they go, kwa hiyo mkakati wa kwanza huwa wana tabia ya kutafuta security. Wakiingia popote wanatafuta kwanza mlango wa kutokea.
*****Huezi kuwa secured wakati hakuna security! Lazima uchukue tahadhari! ukijenga Nyumba lazima kuwe na milango zaidi y mmoja! Wanaounda vyombo vy kusafiria wanaweka security doors!
Inaumiza sana wanaume maana wao wanakuwa wanawaza mapenzi -
*****For how long unawaza mapenzi? How comes unawaza mapenzi, while u are unfaithfully( Nyumba ndogo, na spare tires)
wakati wanawake wanawaza maisha (yaani wewe unapaswa kumpatia mapaka pension atakapozeeka, kisa umeanza kulala nae.
****The bible says so! Huo ni wajibu wako usiumie ufurahie! As the bible says to me ntazaa kw uchungu, nitakuwa msaidizi wa mwanamme, tamaa yngu itakuwa kwake! Huo ni wajibu wangu, ndio mana hujaona mwanamke akilalamika kwann wanaume hawabebi mimba na kuzaa, hawaoshi vyombo, hawafagii nyumba, hawapiki! We are happy and proud about it!
2. Wanaume wanaridhika mapema sana kwenye mahusiano. Wanakuwa wao wameshapata mwanamke walokuwa wanamtaka aaah baas, wamefika.
**How comes nyumba ndogo zinakuwepo? How comes wanaume ndio wanaoongoza kucheat (kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja? )
Wanawake huwa wanatafuta security lakini hata wakiipata huwa hawaitambui
*Wakipata mwenye akili wanadai wanatafuta mrefu
*wakipata mrefu - wanadai wanatafuta mwenye mapenzi ya kweli
*wakipata mwenye mapenzi ya kweli - wanadai wanataka mwenye uume mkubwa
*Wakipata mwenye pesa wanadai hile na lile ilimradi ni fujo tu!
****This goes both ways! Akimpata mrefu anadai, mwnye hips
*Akimpata mwny hips anadai hajatulia,
* Akimpata alietulia anadai mshamba ,
* Akipata anaeomba hela anamuita tegemezi
*Akipata asiyemtegemea anawezeshwa na vidumu!
*Akipata msomi janga! ana akili sana mjuaji huyu!
* Akimpata mjinga anamnyanyasa!
Wanaume tunaingia haraka kuwavua nguo kina dada. Baada ya kumvua nguo unalazimika kuanza kutoa ahadi za kijinga. Nadhani Tunapaswa tuwe makini wakati wa kuingia (tuwe tunajua tunakwenda nae wapi)
***Well said! Usimchukue mwanamke kwa kumfanyia mazoezi! huku unatoa ahadi za kijinga na uongo! Mwisho wa cku unatuletea thread huku tukupe mbinu za kumuacha!
Kama ni wa kukaa nae,utakuwa mwangalifu sana wakati wa kuingia, jiulize maswali magumu na yeye mwuulize maswali magumu.Zingatia sana kwenye kujua kama 1. faith yake kwa Mungu na kwako 2. Convictions zake - lazima awe na mambo ambayo anayasimamia. Kama hana anayosimamia - achana nae kimbia! usije ukamvua nguo na ukategemea ndio unaanza kukoroma, thubutuu!
******Ahsante sana umemaliza! Ondoka mapema usimpotezee muda, hutajenga roho y uchungu! Hatupendi kuachwa!