Men's Suits Za Kileo: Niaje?

Hizi ndio suti bwana. Sio mtu unavaa suti lenye koti refu kama gauni bwana.
 
Hazina tofauti na za kizamani, ni fashen zinazokwenda na kurudi, ila hao wavaaji wa leo ndio nnawaona wana tofauti, wana pozi kama ma demu.
 
Suti hizi zinapatikana wapi? Ningependa kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…