Meno ya Luis Suarez Noma Amng'ata Chiellin.

Meno ya Luis Suarez Noma Amng'ata Chiellin.

Hapa lazima afungiwe tu akipona bahati yake.
 
Inawezekana umefika muda wake kupatiwa ufumbuzi wa kitabibu....sio bure.
 
suarez ana matatizo ya kisaikolojia na inabidi itafutwe namna ya kumzaidia. incident tatu za kuuma watu siyo bahati mbaya
 
Bora babu prof Wenger asimchukue atamuuma bure
 
Kwa nini jamaa linakuwa na nyama ngumu kiasi cha kuniumiza meno? Nadhani ndio anavyofikiria Suarez akiwa ameshika meno yake. Mimi tangu huyu jamaa alivyodaka mpira na kuwanyima Ghana nafasi ya kuendelea kule SA sijawahi kumkuali.
 
hiyo hatua aliiruka katika kukua kwake,au asije kuwa vampaya
 
Asubuhi hii ya leo wakati wa mazoezi ya timu yake yeye akuwepo habari zikatoka kwamba wamemuacha apumzike hotelini
b.jpg
 
Tayari kuna taarifa kwamba Luiz suarez "must face a severe sanction" if found to have bitten an Italian playerkutoka ndani ya Fifa
 
Madini ya chuma au chumvi?

Mkuu si madini ya chumvi ni chuma...(Iron deficiency).....Nimesahau lugha yake ya kitaalamu...

Ila situation ya namna hiyo huwa inaweza mtokea mtu yeyote.....Mf. Kuna watu huwa wanajing'ata ulimi au Lower lip(Midomo ya ndani) halafu anafyonza damu yake....

Kuna wengine wanang'ata vidole kwa pembeni mpaka aone damu halafu ananyonya kidole(damu)........NB: Madini ya chuma yanapatika kwa wingi kwenye damu.....Ref: Red Blood cell Formation na jinsi complex ile inavyofanyika....

Wengine huwa wanatamani kumumunya chuma au coin.....Yote hayo ni kwasababu ya ukosefu wa madini ya chuma....So the body automatically inaji-tune kutafuta madini ya chuma physically....
 
Back
Top Bottom