Meno ya Luis Suarez Noma Amng'ata Chiellin.

Meno ya Luis Suarez Noma Amng'ata Chiellin.

Mchezaji bora wa hii world cup..wakimfungia...sijui itakuwaje

Nidhamu yake jee, ndiyo ajaribu ukali wa meno yake kwa wengine?

Mtoto wako akiwa hodari lakini mjeuri sana na mwenye dharau jee utamwacha tu na kumchekea?
 
Back
Top Bottom