Meno ya Luis Suarez Noma Amng'ata Chiellin.

Meno ya Luis Suarez Noma Amng'ata Chiellin.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
ds.JPG
ds.JPG
ds.JPG
ds.JPG ds.JPG ds.JPG ds.JPG ds.JPG
 
Fifa VP Jim Boyce says Suarez's actions have "left him open to severe criticism". Says Fifa must "investigate the incident seriously".
 
Huyo nae mtoto wa Mama mbona hamna hata alama ya Meno
Hiyo ni Bahati mbaya tu
 
Kwahyo kushika meno hivyo ndio anataka kumuaminisha refa kwamba amejigonga meno kwenye mabega ya mwenzake?!
 
Evolution to zombieism n' vampire,kila saa anatamani damu ndo maana anangata hovyo
 
Mchezaji bora wa hii world cup..wakimfungia...sijui itakuwaje
 
Uyu Luis sio mzima ana tatizo hao FIFA wanamchelewesha sana apigwe ban gemu za kutosha ni mwehu kwa kurudi kosa na kwenye WC lazima afanye tukio.
 
Afungiwe tu pia imekuwa ni tabia yake kama mtoto sasa
 
hata hivyo naona kama YAMEPITA tu hayajazama
 
[video]9F825CD6301093275966698053632_ 14036314813422db3bb2672.mp4.mp 4[/video]
 
Back
Top Bottom