Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

Mengi anataka kufanya udalali anataka kutuzuga wazawa. Kila kitu amiliki yeye bana. Muongo anaongea facts
 
Mengi anataka kufanya udalali anataka kutuzuga wazawa. Kila kitu amiliki yeye bana. Muongo anaongea facts
Fact zipi? za kumilikisha wageni rasilimali zetu 100%? yaani wewe umwambie mzungu ajichimbie akirudisha gharama zake ndo aanze kulipa! Hiyo akili matope? Ukisema watanzania hawana mitaji ni dhihaka maana Ophir Gas ya Mkapa via Motto Mubanga wametengeneza trillion za kutosha kwa kuuza vitalu tu! Kwanini capita kwa watanzania isiwe hivyo vitalu kisha wawekezaji wakaingia ubia moja kwa moja na wazawa?...Serikali inayojinasibu kuwa itasimamia kwaniaba ya Wananchi mbona wameshindwa kwenye Dhahabu na Almasi?...
 

Nakubaliana na wewe mkuu. Watanzania wengi wanaoenda kusikikiza maneno tu bila kufanya utafiti na kuongeza uelewa wa uhalisia wa mambo. Matokeo yake tunaishia kupiga stori za vijiweni!!
 

mengi alipewa kiwanja cha kujenga hotel akamuuzia fidhal hussein (bagdad enterprise)
 

Asante sana. Hii ndo Profesa Muhongo anasema kila siku kwamba, "watanzania ni wavivu wa kusoma na kufatilia mambo. Wanapenda stori za vijiweni tu". Sera ya serikali ni kumilikisha wananchi kupitia TPDC (hili ni shirika la umma-la watanzania ote)! Hao mabepari wao ndo wanataka kuaminisha wananchi kua wao ni bora kuliko TPDC!!?
 

Kwahiyo mkuu mawazo yako yanakushawishi kabisa kua kina Mengi wanawakilisha/watawawakilisha watanzania vizuri kuliko TPDC!?!!
 

mbona unachanganya madawa, haueleweki kama unatetea au kupinga, kuhusu BP kuna kijana anafanyakazi huko na anakampuni yake inaitwa primefuel ukienda bandarini utayaona maroli yake, ni mfanyakazi gani wa ipp anaweza kuwa na kabiashara kake ka kufanana na primefuel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…