"kwenye red "HIVI HUYU MZEE naomba mnikumbushe alisomeawapi hiyo PHD ? na ok hata kama anayo aliipatapata vipi ? kwakuwasaidia walemavu na kuwalisha maskini ? waliompahawakumuona SABODO? aliyeamua kuchimba visima 100 nchi nzima ? hebu huyu anayepiganiamaslahi ya watanznia atueleze ametoa mchongo gani katikakuwalinda tembo wetu kwanza !ametoaamchongo gani katika kuitangaza bandari ya dar es salaam ?.waongo mwisho wao ni aibu tu. huyu mzee si ndo yule aliyezaa watoto mapacha hivi karibuni akawapeleka nje ya nchi !?. usafi wa MENGI unatia shaka kabisa ...TAARIFA YA DKT. REGINALD A. MENGI MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED KWA VYOMBO VYA HABARI
TAREHE 20 DESEMBA 2013
Dr. Reginald Mengi
Dar es Salaam
Muhongo hyo wizara mwsho kuongoza ni 2015 kaa na Watanzania vizuri.
Watanzania ni wakuuza juice tu?
"kwenye red "HIVI HUYU MZEE naomba mnikumbushe alisomeawapi hiyo PHD ? na ok hata kama anayo aliipatapata vipi ? kwakuwasaidia walemavu na kuwalisha maskini ? waliompahawakumuona SABODO? aliyeamua kuchimba visima 100 nchi nzima ? hebu huyu anayepiganiamaslahi ya watanznia atueleze ametoa mchongo gani katikakuwalinda tembo wetu kwanza !ametoaamchongo gani katika kuitangaza bandari ya dar es salaam ?.waongo mwisho wao ni aibu tu. huyu mzee si ndo yule aliyezaa watoto mapacha hivi karibuni akawapeleka nje ya nchi !?. usafi wa MENGI unatia shaka kabisa ...
Sijapata kuona kiongozi m-puuzi na m.shenzi aliyekosa uzalendo kama huyu muhongo...
Mengi mnafiki sana, nadhani anawania u rais huyu, nadhani atagombea kupitia kile chama chao.
Mengi hataki kuambiwa ukweli alishagombana na Waziri Masilingi, Waziri Masha, Jenerali Ulimwengu kwa sababu walimwambia ukweli. Mengi anapenda kunyenyekewa hata kama anavyofanya sivyo. Huyu mzee ni pasua kichwa asitupotezee muda wetu.
"kwenye red "HIVI HUYU MZEE naomba mnikumbushe alisomeawapi hiyo PHD ? na ok hata kama anayo aliipatapata vipi ? kwakuwasaidia walemavu na kuwalisha maskini ? waliompahawakumuona SABODO? aliyeamua kuchimba visima 100 nchi nzima ? hebu huyu anayepiganiamaslahi ya watanznia atueleze ametoa mchongo gani katikakuwalinda tembo wetu kwanza !ametoaamchongo gani katika kuitangaza bandari ya dar es salaam ?.waongo mwisho wao ni aibu tu. huyu mzee si ndo yule aliyezaa watoto mapacha hivi karibuni akawapeleka nje ya nchi !?. usafi wa MENGI unatia shaka kabisa ...
Mengi mnafiki sana, nadhani anawania u rais huyu, nadhani atagombea kupitia kile chama chao.
Mengi mnafiki sana, nadhani anawania u rais huyu, nadhani atagombea kupitia kile chama chao.
Jenerali ulitishiwa kupelekwa mahakamani baada ya gazeti lake miaka ya 90 kutoa orodha matajiri wadaiwa sugu na benki ya CRDB, Mengi akiwa miongoni wa wanaoongoza kwa madeni. Mapambano yalikuwa makubwa lakini alishindwa kumpeleka Ulimwengu mahakamani. Huyu Mzee anapenda mikwaruzanoHao wote waliomuambia Mengi ukweli wako wapi kwa sasa?wamejikomboa vipi wao na jamii zao zilizo wazunguka?think big kabla ya kutanguliza porojo na chuki zisizo na tija
Hiyo conflict of interest inayo attract interest za wananchi waliowengi inaubaya gani? wewe kama wewe Kasheshe hupendelei wananchi wamiliki Rasilimali zao Dhahabu na Gesi?...
Watanzaia sasa tumeamka hayo maeneo aliyoohodhi anyang'anywe kisheria kama ilivyopendekeza kamati ya bunge.wananchi tunamiliki kupitia STAMICO na TPDC jipange kununua hisa, mengi hatetei wananchi anajitetea mwenyewe, kaulize Songea milima ya matogoro yote yake, eneo lote la Mtyangibole hadi shule ya Tanga yake, ni kuweli huyu jamaa anamiliki maeneo makubwa zaidi ya Dar hata mara 20, halafu unasema anatutetea, hakuna kitu jitetee mwenyewe ndg yangu