Huyo mshikaji wako Masha anatembea na Ofisi?,alitoa kauli ile kama nani?? i think kama waziri maana sidhani alitoa kauli kama Masha kwa sababu Tycoon mengi hamkutaja...upo hapo?
Ofisi ipo ichukue hatua je kama akifariki huko Swiss ina maana ndio na mambo yatakuwa yamekwisha?.....msela wako katokota
Ndio maswali ambayo dataz anaweza kutujibu.Serikali kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lau ilimpa Mengi siku saba kuthibitisha tuhuma zake kwa serikali la sivyo angeona cha mtema kuni. Siku saba zimepita lakini kulingana na dataz ni kuwa mambo ya Mengi yamewekwa pending mpaka Lau arudi kutoka majuu.
Swali - Karamagi inaeleweka alibeba mihuri ya serikali kwenda kusaini mkataba hotelini London - Je Lau kabeba Wizara nzima nzima au yeye ndiye serikali ?
- Tunamsubiri arudi kutoka Geneva, ambako yuko na Waziri Mkuu siku saba zimekwisha tayari, bado ana benefit of the doubt kuwa alikuwa nje ya nchi, kama vile alivyokuwa South Africa, Mengi alipotoa tuhuma, aliporudi alitoa siku saba,
- Sasa tunamsubiri waziri afike na atimize yote aliyoahidi kumfanyia Mengi iwapo hatatimiza amri yake kama waziri, nilisema kuwa njia ya muongo kwenye mpapai ni mbali sana, sasa the moment of the truth inakaribia, ukweli wa habari yote tunao, hakuna wa kupiga chenga ya mwili hapa, tulisema tunataka facts zote za the ishu, sasa tunazo, kwa hiyo hakuna wa kumdanganya mwingine, wala wananchi, taifa zima linasubiri kuona ahadi ikitimizwa, akishindwa ndio tutatoa rasmi duku duku letu.
Subira siku zote yavuta heri.
Kwanza FMES nikuulize mnamsubiri wewe na nani? Ina maana amekuwa karamagi kabeba makabrasha yote ya wizara mpaka na mihuri kwenda nayo ughaibuni? Au hawezi kumwachia naibu wake akashughulikia hili? Maana maelezo yake TBC1 alidai kuwa amechukua hatua zile kutoa siku saba kama WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MWENYE DHAMANA YA USALAMA WA RAIA, leo unatuambia tumsubiri!!! Au wizara imefungwa!?
Kwanza FMES nikuulize mnamsubiri wewe na nani? Ina maana amekuwa karamagi kabeba makabrasha yote ya wizara mpaka na mihuri kwenda nayo ughaibuni? Au hawezi kumwachia naibu wake akashughulikia hili?
- Kwanza naomba kujibu swali lako la msingi, "Tu" katika siasa ni neno la kawaida kutumika na mtu mmoja, linasimamia msimamo tu na haina maana ni watu wengi represented na sio lazima iwe.
- Now with all due respect, naomba kusema hivi sio siri kwamba msimamo wangu katika hii ishu umegeuka kua kikwazo kikubwa kwa wananchi wengi hapa JF, nilisimama kama siku zote kusimamia ukweli ambao nimeuona ukijaribu kupindishwa kuhusu background yake kwenye elimu na kazi, kabla ya kufikia uwaziri na ubunge, kwenye hilo naomba kurudia kwua sina cha kua-apologize, na hata siku moja akishambuliwa member yoyote ninayemfahamu hapa JF nitafanya the same, nitamtetea to end ili ukweli usipindishwe, ila maovu yake nitamuachia mwenyewe ayajibu.
- Now sina uhakika wa karibu of kazi za Lau as waziri, lakini to me kuna wakati aliwajibia IMMA kwa niaba ya mtoto wa rais kuhusu utata wa ajira yake kule, that was wrong na nilisema wazi hapa JF, sasa since then kumekwua na lawama nyingi sana kumuelekezea Lau kama waziri, in the last four days nimeongea na members wengi sana hapa kwa simu ambao ninawaheshimu sana, na I could not help kuisikia the emotions displayed kuhusu conduct za Lau as waziri, na mmoja wapo ambaye aliwahi kusoma naye, tulifikia kukubaliana kua uwezekano wa taifa letu kubadilishwa na generation yetu, ni mdogo sana labda watoto wetu kutokana na dis-appointment ya Lau.
- Now with all that said, naomba kuji-excuse myself kutoka kwenye huu mjadala, na mijadala ya Lau in the future, na pia naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao kwa njia moja au another, nimewakwaza kwa msimamo wangu usiokubalika hapa JF kuhusu hii ishu. JF tunapokuwa kwenye focus ya taifa huwa tunakua very effective lakini sio tunapokwaruzana mpaka nje ya mstari as of this ishu, then tunakosa focus na hatuwi effective kwa tunaowalenga. Na this is time for me to reachout in a serious tone.
Kwa hayo machache naomba kujiweka pembeni na ninawatakia mjadala mwema ndugu zangu, taifa siku zote mbele na JF juu zaidi na idumu.Kwa ndugu zangu wote wengine, in two hours from now nitakua na waziri wa jamhuri yetu, sasa kama kuna any mwenye tatizo la kuhusiana na ishus za sheria unaweza kunitwangia ili nikupatie nafasi ya kuongea naye nitakua naye for the whole day na mpaka weekeend, najua wakulu wengi sana hapa mnazo namba zangu, msiokuwa nazo ni-beep kwenye PM nitakuwekea sina noma maana sina tatizo niko clean, na kumbuka hizi chance za kua na wakulu hupatikana kwa nadra sana na tuko hapa kusaidiana pia.
Mungu Aibariki Tanzania.
- Kwanza naomba kujibu swali lako la msingi, "Tu" katika siasa ni neno la kawaida kutumika na mtu mmoja, linasimamia msimamo tu na haina maana ni watu wengi represented na sio lazima iwe.
- Now with all due respect, naomba kusema hivi sio siri kwamba msimamo wangu katika hii ishu umegeuka kua kikwazo kikubwa kwa wananchi wengi hapa JF, nilisimama kama siku zote kusimamia ukweli ambao nimeuona ukijaribu kupindishwa kuhusu background yake kwenye elimu na kazi, kabla ya kufikia uwaziri na ubunge, kwenye hilo naomba kurudia kwua sina cha kua-apologize, na hata siku moja akishambuliwa member yoyote ninayemfahamu hapa JF nitafanya the same, nitamtetea to end ili ukweli usipindishwe, ila maovu yake nitamuachia mwenyewe ayajibu.
- Now sina uhakika wa karibu of kazi za Lau as waziri, lakini to me kuna wakati aliwajibia IMMA kwa niaba ya mtoto wa rais kuhusu utata wa ajira yake kule, that was wrong na nilisema wazi hapa JF, sasa since then kumekwua na lawama nyingi sana kumuelekezea Lau kama waziri, in the last four days nimeongea na members wengi sana hapa kwa simu ambao ninawaheshimu sana, na I could not help kuisikia the emotions displayed kuhusu conduct za Lau as waziri, na mmoja wapo ambaye aliwahi kusoma naye, tulifikia kukubaliana kua uwezekano wa taifa letu kubadilishwa na generation yetu, ni mdogo sana labda watoto wetu kutokana na dis-appointment ya Lau.
- Now with all that said, naomba kuji-excuse myself kutoka kwenye huu mjadala, na mijadala ya Lau in the future, na pia naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao kwa njia moja au another, nimewakwaza kwa msimamo wangu usiokubalika hapa JF kuhusu hii ishu. JF tunapokuwa kwenye focus ya taifa huwa tunakua very effective lakini sio tunapokwaruzana mpaka nje ya mstari as of this ishu, then tunakosa focus na hatuwi effective kwa tunaowalenga. Na this is time for me to reachout mkulu on a serious tone, na kinachonisikitisha sana ni kwamba only last two weeks nilikuwa na his dad for four days before all this cameout, lakini hakijaharibika kitu.
Kwa hayo machache naomba kujiweka pembeni na ninawatakia mjadala mwema ndugu zangu, taifa siku zote mbele na JF juu zaidi na idumu.
Kwa ndugu zangu wote wengine, in two hours from now nitakua na waziri wa jamhuri yetu, sasa kama kuna any mwenye tatizo la kuhusiana na ishus za sheria unaweza kunitwangia ili nikupatie nafasi ya kuongea naye nitakua naye for the whole day na mpaka weekeend, najua wakulu wengi sana hapa mnazo namba zangu, msiokuwa nazo ni-beep kwenye PM nitakuwekea sina noma maana sina tatizo niko clean, na kumbuka hizi chance za kua na wakulu hupatikana kwa nadra sana na tuko hapa kusaidiana pia.
Mungu Aibariki Tanzania.
Hewaaa umesarenda kuwa ulikuwa unatetea mtu asiyeteteeka....hata mawakili kuna kesi wanazikimbia bwa ha ha ha ha ha tunamkoma nyani giladi,nani atakuwa mtetezi wa Masha hapa?-
- Now with all that said, naomba kuji-excuse myself kutoka kwenye huu mjadala, na mijadala ya Lau in the future, na pia naomba kuomba radhi kwa wale wote ambao kwa njia moja au another, nimewakwaza kwa msimamo wangu usiokubalika hapa JF kuhusu hii ishu. JF tunapokuwa kwenye focus ya taifa huwa tunakua very effective lakini sio tunapokwaruzana mpaka nje ya mstari as of this ishu, then tunakosa focus na hatuwi effective kwa tunaowalenga. Na this is time for me to reachout mkulu on a serious tone, na kinachonisikitisha sana ni kwamba only last two weeks nilikuwa na his dad for four days before all this cameout, lakini hakijaharibika kitu.
Kwa hayo machache naomba kujiweka pembeni na ninawatakia mjadala mwema ndugu zangu, taifa siku zote mbele na JF juu zaidi na idumu.
Hapo tu ndio kamba zako zinapoanzia,gia kali hiyo bwa ha ha ha- Kwa ndugu zangu wote wengine, in two hours from now nitakua na waziri wa jamhuri yetu, sasa kama kuna any mwenye tatizo la kuhusiana na ishus za sheria unaweza kunitwangia ili nikupatie nafasi ya kuongea naye nitakua naye for the whole day na mpaka weekeend, najua wakulu wengi sana hapa mnazo namba zangu, msiokuwa nazo ni-beep kwenye PM nitakuwekea sina noma maana sina tatizo niko clean, na kumbuka hizi chance za kua na wakulu hupatikana kwa nadra sana na tuko hapa kusaidiana pia.
Mungu Aibariki Tanzania.
A'fu tunaogopa kukutumia PM utazianika hapa jamvini.....weka namba yako tutakupigia tuongee na huyo mshikaji wako waziri wa jamhuri
Mkuu unamsikiliza yule nesi YNIM?- Wewe nitafute au waachie wenye shida wapate nafasi, mengine ni yale yale ya kuamini Fisadi Haileselassie ni Mungu, no wonder hatuelewani hapa maana tuna-discuss vipi na watu wanaoamini fisadi mwizi Hailessalesie kua ni Mungu!!! Bwa! ha! ah! ah!
Mkuu wangu mazee Yo Yo, look busy weeke end tunakwua na waziri na pia Shujaa Mama Kilango naye ameingia jana usiku kwa hiyo everything is under control, wewe twanga tu kama huna namba yangu ni-beep nitakupa sina noma.
Mkuu have a nice day, sisi ngoja tuwahi .........nyama choma na mkulu! najua wewe nyama haipandi kwa sababu Mungu Hailessalesia amekukataza, Bwa! ha! ah! ah!
Samahani lakini kwa kukuwaza mkuu si unajua week end hiyo, see yah!
Mkuu unamsikiliza yule nesi YNIM?
Ngoja niongee na wadau ukiweka PM yangu hapa,sina hiyana nakuroga!