Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Wateule wa Jk ni majanga kwa ustawi wa nchi hii!Majina mengine ni majanga matupu. Huyu jamaa ni muongo sana kaa ilivyo jina lake, hilo naungana na Mengi.
Kweli Dr Mengi anaweweseka facts and figures za last week zilikua siyo Mchezo .... I wish pangekua na video ya alichosema Prof : Muhongo hakusema kampuni ya madini mengi anayomiliki imaukubwa wa dar Es salaam Tatu Bali alisema viwanda anavyomiliki Dr Mengi in total vinaukubwa sawa na dar Es salaam Tatu .... Dr Mengi asipindishe maneno ajibu hoja aseme ukubwa wa viwanda vyake vyote anavyomiliki plus aridhi anavyomiliki wewe kwa shuguli binafsi in total ni ukubwa gani.
Hayo maprofessor ya CCM akili zao kama Kapuya

Majina mengine ni majanga matupu. Huyu jamaa ni muongo sana kaa ilivyo jina lake, hilo naungana na Mengi.
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP,bwana Reginald Mengi,ameseme kauli iliyotolewa na Prof.Muhongo hivi karibuni katika kongomano linalohusu uwekezaji si ya kweli.Katika kongamano hilo,Prof.Muhongo alidai kuwa Mengi anamiliki eneo la kitalu cha gesi ambacho ukubwa wake ni sawa na mara tatu ya eneo zima la mkoa wa Dar-es-salaam.Bwana Mengi amekanusha taarifa hiyo na kudai yeye anamilki eneo la takribani 1 square km tu.Mh.Mengi ametoa maelezo hayo leo katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Binafsi niliona kongamano hilo ambalo hata Mengi nae alihudhuria.Katika kongamano hilo, Prof Muhongo alikuwa anajisifu,tena kwa kurudiarudia, kuwa yeye kama mwanasayansi anaongea kwa "facts na data" alafu kumbe data zenyewe ni za kupika!Katika kongamano lile Muhongo alitamka bila aibu kwa kusema "Mengi anamiliki Dar-es-salaam tatu".
Mimi naona huyu waziri si mzigo tu bali ni kizingiti cha maendeleo.
CHANZO:ITV
Akili ndogo kaziniKweli Dr Mengi anaweweseka facts and figures za last week zilikua siyo Mchezo .... I wish pangekua na video ya alichosema Prof : Muhongo hakusema kampuni ya madini mengi anayomiliki imaukubwa wa dar Es salaam Tatu Bali alisema viwanda anavyomiliki Dr Mengi in total vinaukubwa sawa na dar Es salaam Tatu .... Dr Mengi asipindishe maneno ajibu hoja aseme ukubwa wa viwanda vyake vyote anavyomiliki plus aridhi anavyomiliki wewe kwa shuguli binafsi in total ni ukubwa gani.