Mengi na Kylin katika ubora wake

Dahhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!! pesa bhaaana rahaaaaaaaaaaaa....babu wa watu masikini
 
duuu mi nkitongozwa na pedeshee nkiwaza tu kushika nywele za kifuan zenye mvi na mikunjo hapanaaaa ngoja tu
 
Mmmmmh nifah kakitokea kamangineyo kakukabidhi kaapatiment, karenji na vijibutiki na vijieskro viwili vitatu utamtosa kweli!!
Hahahaaa,vitu nataka lakini tatizo ni hayo makunyanzi sasa! Mhhhhh kwakweli hapana, bora umasikini nitakua na furaha maana hivi vizee sio vijinga vinabana balaa maana vinajua lazima utakua na mchepuko tu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hapo ilikosekana "cuba libre" tu kuleta swaga zaidii
 
Hahahaaa,vitu nataka lakini tatizo ni hayo makunyanzi sasa! Mhhhhh kwakweli hapana, bora umasikini nitakua na furaha maana hivi vizee sio vijinga vinabana balaa maana vinajua lazima utakua na mchepuko tu.

Mbona shemeji anakubana kinyama wakati hata kijipasso bado hajakununulia sio bora tuu uvumilie ubanwe na kunyanzi lkn ukijua wee ni kijibosslady hahahahaaa.
 
Aha aha aah sizitaki mbichi hizi...
 
Mbona shemeji anakubana kinyama wakati hata kijipasso bado hajakununulia sio bora tuu uvumilie ubanwe na kunyanzi lkn ukijua wee ni kijibosslady hahahahaaa.
Hahahaaa! Ayayayayaaaaaa....hapo umegusa pabaya sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…