brightoscar
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 369
- 544
Hadi sasa sijaona msingi wa Mengi kutopewa nafasi ya kutafuta na kuchimba gas Mtwara. Kwa utajiri wa USD 550 million anaweza na ana haki ya kufanya hivyo ndani ya nchi aliyozaliwa. Sijajua kwanini serikali huwa inamnyima huyu mzee nafasi nyingi ambazo huwa anakuwa ana uwezo nazo au wadau kuna kitu tofauti nyuma ya hili.......