Mengi na gesi ya Mtwara

Mengi na gesi ya Mtwara

kama anauwezo siafate taratibu uzawa uzawa sinaakuja kufaidika yeye na familia yake kutumia mgongo wa utanzania upewe upendeleo ni ufisadi pambana na wenzako kama una vigezo
 
Kuna siku FF atakuja kujitoa mhanga kwa ajili ya dini yake!!

Huyu mtu ni mdini sana tena sana hata mambo ambayo ni very important,na mengine ya hatari kama boko haram,al shababu,al qaida yeye ndo anaona ni sahihi ila la Mengi sio,anamchukia nyerere sana na nafikiri kifo chake alisherekea mwaka mzima
 
Hadi sasa sijaona msingi wa Mengi kutopewa nafasi ya kutafuta na kuchimba gas Mtwara. Kwa utajiri wa USD 550 million anaweza na ana haki ya kufanya hivyo ndani ya nchi aliyozaliwa. Sijajua kwanini serikali huwa inamnyima huyu mzee nafasi nyingi ambazo huwa anakuwa ana uwezo nazo au wadau kuna kitu tofauti nyuma ya hili.......

ana 550 usd ni total assets pamoja na shares zake..lakini liabilities zake ngapi ? unaweza kuona hana kitu ila madeni ya benki tu...
tuache unazi nchi zilizo endela kwa kutumia rasilmali mafuta mfano saudia , Uae,Oman , Qatar Iran na hata Iraq uchimbaji wa mafuta unafanywa na makampuni ya serikali zao ikiwa share na makampuni yenye utaalam huo kutoka nje.
hakuna mtu binafsi anaeruhusiwa kufanya biashara hiyo.
na unaona namna gani nchi hizo zilivo endelea kwa kila nyanja.
watu wanaoa mfano wa Nigeria kuwa wapo wabongo wa huko kutajirika kwa mafuta !!! huo ni ujinga na ndio unaleta mambo ya boko haram..sasa Mengi mmoja tukishampa mafuta na gas awe kama bill gate kisa? mali asili ni ya Tanzania na watanzania serikali ichimbe na kutafuta kwa niaba ya watanzania .
hatuwezi kumtajirishamtu mmoja akaja kusababisha matatizo ya usalama wa nchi kwa fedha atazo chuma na kuwaacha walalahoi wakiwa masikini.

ila moja baya kabisa serikali wanafanya ni kuwapa wageni kila kitu..hilo nalo ni bomu na wizi mtupu.
ilitakiwa serikali kwa niaba yetu wawe share ya kila kitalu....hivo kutuwakilisha .
wanachofanya sio sera nzuri ni wizi wa 10 %
 
Kakutuma?
 
Ile ilikuwa ni Mali ya umma watu hawakuwa na uchungu nayo Mengi atatumia his own capital sidhani kama mtu unaweza inject million of dollars then uziache zipotee in thin air.
Kwani lini Reginald Mengi amenyimwa vitalu? Watu wanapotosha na hawafahamau mambo yanavyoenda. Tatizo lililopo ni kwamba, serikali inataka mmiliki kwa niaba ya Watanzania awe ni Shirika la Petroli... yaani TPDC lakini Mengi na wenzake wanapinga suala la TPDC. Iko hivi... serikali inachotaka, mwekezaji yeyote yule, bila kujali anatoka wapi, iwe Mtanzania au Mdachi; akisha-prove kwamba uwezo anao (in terms of capital, technology and experience), basi atapewa nafasi ya kufanya biashara ya utafutaji na uchimbaji from alpha to omega. mgawanyo wa mapato uliopo ni 35% mwekezaji na 65% serikali kupitia TPDC... huu ni mgawanyo baada ya gharama. Sasa basi, ili kila Mtanzania anufaike, serikali inafikiria suala la TPDC kuiwezesha ili nayo iwe inafanya hizo shughuli na kiasi cha hisa za TPDC ziuzwe kwa Watanzania.

Tatizo lililopo ni kwamba, Mengi na wenzake wanataka badala ya kuiwezesha TPDC, serikali iwawezeshe "Watanzania." Wanaita Watanzania lakini kimsingi wanamaanisha Wafanyabiashara wakubwa. Hawa wafanya biashara wakubwa ndio wapewe upendeleo kwa "niaba ya mimi na wewe!" Serikali ikagoma. Ikasema yeyote yule, uwe Mtanzania au M-Canada, unashindanishwa sawa na baada ya makato yako, unabaki na 35% bila kujali asili yako na 65% inaenda serikalini kupitia TPDC... lengo likiwa lile lile la kuiwezesha TPDC kufanya hizi kazi yenyewe na hatimae iuze hisa kwa Watanzania.

Sasa tukuulize wewe na Mengi!! Hivi kwa Mtanzania kuwekewa mazingira ya kununua hisa za TPDC sio uzalendo lakini kuwasaidia akina Mengi na wenzake, ili wakitaka ndipo wauze hisa ndio uzalendo?

Watu acheni kupotosha... kila mmoja anaweza kuwekeza including Mengi mwenyewe na ndio maana nae ni mmoja wa wakurugenzi wa Swala... mnaomtetea mnataka kuingia kwenye mtego wa Mengi kumpigia debe ili apate vitalu vingi zaidi kama ilivyo kawaida yake akiingia kwa gia ya uzalendo! Je, hadi sasa ameuza hisa asilimia ngapi kwenye vitalu vya madini?
 
Tatizo ni hapo kwenye kushindanishwa interms of experience na capital makampuni ya kizungu yatazidi kuchukua kazi na Mengi kurudishwa kila siku kuwa hajakidhi vigezo lakini wakimchukulia kama mzalendo mwenye lengo nzuri angeanza kupewa nafasi yy kama mzawa na angefuata masharti yote na kuprove kuwa hata wazawa tunaweza
 
Prof Muhongo, hongera kwa kuwa na msimamo usio tetereshwa. Hatutaki ubabaishaji ktk suala la gesi. Suala la masingi hapa ni capital ya uhakika na uzoefu wa kutosha sio uzawa.
 
Tatizo ni hapo kwenye kushindanishwa interms of experience na capital makampuni ya kizungu yatazidi kuchukua kazi na Mengi kurudishwa kila siku kuwa hajakidhi vigezo lakini wakimchukulia kama mzalendo mwenye lengo nzuri angeanza kupewa nafasi yy kama mzawa na angefuata masharti yote na kuprove kuwa hata wazawa tunaweza
Mwenye lengo zuri lipi? Iko wapi NICOL? Mbona kampuni zake zote bado anamiliki mwenyewe na watu wake na hakuna hata moja ambayo amewahi kuuza hisa? Kama ni suala la lengo zuri lipo kwa TPDC ambayo lengo lake pamoja na mambo mengine ni kuuza hisa kwa wananchi. But all in all, Mengi anafahamu biashara zinavyoendeshwa. Ikiwa hana teknolojia lakini mtaji anao, anachotakiwa ni kuingia ubia na wenye teknolojia kisha watakuja as a team na watakuwa treated as anyone else! By the way, sasa kama mtu hata teknology na uzoefu hana, anataka vitalu vya gesi vya nini? Ndio maana watu wana wasiwasi... isije ikawa wanataka vitalu kisha baadae wavipige bei kama walivyofanya kwenye vitalu vya uwindaji!!! Kwenye vitalu vya uwindaji, Watanzania walipewa upendeleo.. matokeo yake wakageuka madalali wakavipiga bei vitalu walivyopewa kwa upendeleo!

Nikuulize swali lingine! Unakumbuka Mengi aliingia kwenye mgogoro mkubwa na akina Abdallah Kigoda pale alipokosa kununua Kilimanjaro Hotel? Kama kawaida yake, alilalamika kwa kukosa kuwekwa suala la upendeleo kwa wazawa! Suala hili lilitokea zaidi ya miaka kumi iliyopita. Now the question, ikiwa Mengi alikuwa na nia kweli ya kuwekeza kwenye sekta ya mahoteli, nini kinamfanya hadi sasa hajajenga hotel? Ina maana kv alikosa kuinunua Kilimanjaro Hotel ndo basi tena ameamua kughairi suala la biashara ya hotel? Au nayo aliitaka ainunue kwa bei rahisi kisha aipigie bei?
 
Jina lingekuwa Abdurahman,Mohamed,Athumani na mengineyo kama hayo ungesimamia kucha kuzungumza kinyume chake...sijui kama nimekosea!!!!

Umeonaee! Hawa jamaa wanatia huruma sana! Angalia watu wenye negative comments na wanaowapa likes!
 
Kama ana vigezo wala hana haja ya kuandikwa hapa, anakwenda TPDC anayamaliza hukohuko, wala hatafuti wa kumtetea JF wala mitaani. Na wapo, tukujuze?

Unamjuwa huyu:

He is a major partner in a recent gas discovery in Tanzania and holds significant exploration acreage in Egypt, Somaliland and Pemba-Zanzibar.

nilijua tu mwamba ngozi huvutia kwake.wewe faizer ni mdini sanaa mungu akulaani shetwaani wa allah weweee
 
hakuna kitu zaidi ya viongozi wa CCM kukosa uzalendo na roho mbaya kwa watz!!!!
 
Hadi sasa sijaona msingi wa Mengi kutopewa nafasi ya kutafuta na kuchimba gas Mtwara. Kwa utajiri wa USD 550 million anaweza na ana haki ya kufanya hivyo ndani ya nchi aliyozaliwa. Sijajua kwanini serikali huwa inamnyima huyu mzee nafasi nyingi ambazo huwa anakuwa ana uwezo nazo au wadau kuna kitu tofauti nyuma ya hili.......

Pesa ndogo sana hiyo katika utafutaji wa gesi..... Sio Kila kisima cha utafiti kinachochimbwa katika kina cha maji marefu (offshore) kinachogharimu Zaidi ya $200ml(depending on the conditions) kitakuwa na gesi.... Hivyo basi hiyo hela yote itaisha kabla hata hajamaliza exploratory phase.... Ajipange... Aende akafanye leasing.... Hajazuiwa.
 
If A is a success in life, then A equals x plus y plus z. Work is x; y is play; and z is keeping your mouth shut.

U stiLL garbeging..? ImageUploadedByJamiiForums1406223530.272909.jpg

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
You dont know what you are saying. Hizo ndo unaona hela za kuwekeza kwenye gesi

Kuna watu wanadhani hela ya kuwekeza kwenye oil n gas industry ni sawa na kuanzisha super makert, guys hii industry ipo very expensive.Kuanzia kwenye seismic surveys hadi kwenye kudrill well aisee atafilisika mzee wa watu. Bora akaushe tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hivi vijisenti akawekeze kwenye magazeti yake ya udaku.....kwenye gesi its a peanut!
 
ana 550 usd ni total assets pamoja na shares zake..lakini liabilities zake ngapi ? unaweza kuona hana kitu ila madeni ya benki tu...
tuache unazi nchi zilizo endela kwa kutumia rasilmali mafuta mfano saudia , Uae,Oman , Qatar Iran na hata Iraq uchimbaji wa mafuta unafanywa na makampuni ya serikali zao ikiwa share na makampuni yenye utaalam huo kutoka nje.
hakuna mtu binafsi anaeruhusiwa kufanya biashara hiyo.
na unaona namna gani nchi hizo zilivo endelea kwa kila nyanja.
watu wanaoa mfano wa Nigeria kuwa wapo wabongo wa huko kutajirika kwa mafuta !!! huo ni ujinga na ndio unaleta mambo ya boko haram..sasa Mengi mmoja tukishampa mafuta na gas awe kama bill gate kisa? mali asili ni ya Tanzania na watanzania serikali ichimbe na kutafuta kwa niaba ya watanzania .
hatuwezi kumtajirishamtu mmoja akaja kusababisha matatizo ya usalama wa nchi kwa fedha atazo chuma na kuwaacha walalahoi wakiwa masikini.

ila moja baya kabisa serikali wanafanya ni kuwapa wageni kila kitu..hilo nalo ni bomu na wizi mtupu.
ilitakiwa serikali kwa niaba yetu wawe share ya kila kitalu....hivo kutuwakilisha .
wanachofanya sio sera nzuri ni wizi wa 10 %

Serekali pia haina uwezo wakuendesha kitalu cha gas ndio maana wanachukua wawekezaji kutoka nje, chamsingi serekali ingewabana wawekezaji kwenye mikataba. Na huyo mengi kuwa na $550m hiyo akiwekeza kwenye gesi inaisha kabla ya miezi sita na hajafanya kitu.
 
Cost za uwekezaji wa gesi
 
Attachments

  • 1406257554748.jpg
    1406257554748.jpg
    39 KB · Views: 82
Back
Top Bottom