Nimeiona hiyo report ila sijaelewa vigezo maana kuna SSB hapa tanzania nadhani ata fit namba za juu kabisa maana hata amevuka mipaka kwenye biashara zake na analipa kodi sehemu zote alipo!!!
Reginald Mengi
Nationality: Tanzania
Job: Chairman, IPP Group
Mengi is one of Africa's most powerful media barons. Started out as an accountant; made first millions manufacturing ballpoint pens and selling them to big retailers. Today, he heads IPP Group, a diversified media conglomerate active in East Africa. Assets include 9 newspapers, 2 television stations and 3 radio stations. Also owns a Coca-Cola bottling plant in Dar-es Salaam.
where is my name?
100 kwa 100 NAKUUNGA MKONOHuyu mzee R.Mengi ni mtu wa kupewa suport na wtu wote Tz hata kama viongozi wetu wa nchi wanamfanyia fitina sisi wa-Tz tumuunge mkono ktk hali yeyote, maana ni mtu anayesaidia jamii pasipo kujali imani zao na anahangaika na aina zote za watu hata walemavu, tunaomba watoto wa Mengi waendelee kuiga mfano wa Baba yao maana amejijengea mapenzi makubwa kwa Taifa hili. Huwezi mfananisha na mfanyabiashara yeyote hapa Tz.
I was about to ask the same question...where is The Boss ? !!where is my name?
alafu kweli!!!!!!!!! bakhressa vipi, au ndo hataki kujionesha???
Ndugu zangu watanzania tunabidi tujivunie maendeleo ya mtanzania mwenzetu Mr. R Mengi, list iliyotolewa na Forbes ya " The 20 most powerful people In African business man". Mr Mengi ni mtanzania aneyetutoa na kuipa Tanzania sifa nzuri, sio kila saa tunaongela habari za mafisadi.
NOTE: Watu 20 wametoka nchi 8 tu
Ni nani huyu??Mbona sijamuona peter maha hapo?
Huyu mzanzibari kisomo chake duni ingawa ana pesa kwa hiyo influence yake haijulikani kwani hakutani na matajiri wenzie wa Africa kwenye vikao vya biashara.
Ndugu zangu watanzania tunabidi tujivunie maendeleo ya mtanzania mwenzetu Mr. R Mengi, list iliyotolewa na Forbes ya " The 20 most powerful people In African business man". Mr Mengi ni mtanzania aneyetutoa na kuipa Tanzania sifa nzuri, sio kila saa tunaongela habari za mafisadi.
NOTE: Watu 20 wametoka nchi 8 tu
bakheresa vipi?maana pesa ya mengi ni just 10% ya bakheresa
Mkuu elewa hiyo siyo list ya The Richest People bali The Most Powerful PeopleIssue si kuwa katika orodha ya Forbes. Je chanzo cha utajiri wa Mengi kinajulikana? Je yale mabilioni aliyokuwa akidaiwa NBC iliyouawa na shemeji yake Mkapa alilipa au ndiyo huo ukwasi wenye kutia shaka?
Malipo ya wafanyakazi wa Mengi siku zote ni kwa mbango. Au yale yale ya Rostamali alivyokuwa akifanya kabla ya kurejesha namba?