jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Mkuu achana na huo upuuzi nenda kamuuguze mama,maana huna mama mwingine,na hakuna mwanamke anayejua thaman yako zaidi ya mama yako.nimeumia sana kuhusu mama yako na ukizingatia mimi mwenyewe nimelelewa na mama tu.namuombea Mungu atume uponyaji juu yake.amen.