Meneja Wa Shule Anahitajika

Mtaendelea kupiga mark time na kishule chenu uchwara kisichokua na mbele wala nyuma.πŸ˜€πŸ˜€
Nashukuru. Naona sasa hivi usingizi umekolea. Nenda kalale na uache fitina.
 
Nashukuru. Naona sasa hivi usingizi umekolea. Nenda kalale na uache fitina.
Hahahaa shule ina muda mrefu ila haifanikiwi then mnabadili manager?? Endeleeni kupiga mark time. Am out.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkihitaji walimu mniite
Tutahitaji. Sasa hivi tunatafuta meneja kwanza. Miongoni mwa watakaoomba hii nafasi pia tutampata Deputy Head Master. Maana yake ni kuwa tunahitaji watu wawili mahiri.
 
Tutahitaji. Sasa hivi tunatafuta meneja kwanza. Miongoni mwa watakaoomba hii nafasi pia tutampata Deputy Head Master. Maana yake ni kuwa tunahitaji watu wawili mahiri.
Ungeweka vigezo mkuu
 
Ungeweka vigezo mkuu
Watakaokuja nitawaeleza vigezo. Maana tutaongea nao kwanza kisha waelewe lengo halafu wataitwa rasmi kwenye interview.
Kigezo kikubwa kwa sasa ni uwezo wa kubadili au kupandisha kiwango cha ufaulu na kuiweka shule kwenye kiwango kinachokubalika.
Pia kupandisha morali ya wafanyakazi wote wa shule.
 
Wewe ni dalali au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…