Meneja mkuu barrick-bulyanhulu ajiuzulu leo.

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
1,195
Meneja mkuu mkaburu MOXHAM KEVIN imetangazwa leo amejiuzulu mara moja. taarifa hizi rasmi zimebandikwa kwenye mbao za matangazo mgodini hapo.

Sababu iliyopelekea kujiuzuru huku haijawa wazi ila kwa taarifa zisizo rasmi ni kuwa ubaguzi na kuleta idadi kubwa ya wageni wasio na tija. kuhusu ubaguzi ni kuwa kaleta idadi kubwa ya makaburu huku wazungu wengine wakipigwa chini.

Hivyo inawezekana timu kubwa iliyoletwa na moxham ikatimuliwa pia.
 

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
1,195
na inaonesha ana miez kama 3. ameisha ongeza makaburu toka 73 mpaka 215.
 

ma2ngwa

Member
Sep 5, 2011
54
70
wazungu hawa washenzi!hata post za wabongo inawezekana zipo shakani ndo maana kila siku wanatangaza nafasi za kazi,watz walioko huko wananyanyasika utadhani ni wakimbizi kwenye nchi yao,Mungu 2saidie!
 

Tidito L

Member
Jan 23, 2011
97
95
Acha aondoke huyo ana roho mbaya kishenzi,
ata north mara alifanya hivyo hivyo kuleta ndugu zake kibao kabla ya kuhamishwa.
Alitoa trichment pasipo sababu kwa wabongo ili ajaze makaburu wenzake!
 

RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,377
2,000
Haya ndo mambo ambayo mlioko migodini mnatakiwa mtusaidie kuwhistle blow!! It doesn't take you a day kutoa taarifa kama hii na kuwafanya wahusika waanze kuogopa. Binafsi inaniuma sana tunapokuwa hatuna mipango endelevu, na kama tunayo basi its very slow au iko kwenye makabati ikila vumbi.

Hii migodi ilitakiwa tuwe na chuo kikuu cha nishati na madini maeneo ya karibu na hiyo migodi, hii ingesaidia sana kutrain workforce ya ndani badala ya kuendelea kujichimbia kaburi sisi wenyewe. Sioni kwa nini hii policy ya kujijengea uwezo wa watalam wa ndani katika sekta ya nishati na madini ishindike au iwe very slow kama ilivyo sasa.

Ni ujinga, ubinafsi, na kutokuwa na commitment za muda mrefu kwa ajili ya hii inchi, hao wazungu ukiuliza mshahara wao unaweza kusomesha Mining/Electrical/Instrumentation Engineers hadi 10 kwa mshahara wa mwezi mmoja tena wakiwa full equiped with their tool boxes kupitia vyuo vya bongo.

We need to talk about a strong Tanzania, with investments in heavy manufacturing industry siyo hivi viprocessing industries ambavyo faida yake inaliwa na CCM kila uchaguzi ukifika. Kuna vitu hatujaviweka kuwa "Ni lazima viwepo ndani ya muda fulani". We just change our direction kama bendera. I hate this wanaJF.
 

tito majala

Member
Sep 4, 2011
25
20
Yanayotendeka huku mgodini ni janga la taifa na wagonjwa wanatelekezwa bila msaada.Hasa wa uti wa mgongo
 

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
1,195
kuhusu workforce for sure we need trained people ila untrained people wamekuwa waoga kutetea maslahi yao kwa kuogopa kufukuzwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom